My Theory juu ya waumini kufungishwa saumu hadi kufa na mchungaji huko Kenya, its financially Motivated

Kuna limoja jana tunabishana kwenye kijiwe cha kahawa linasema kuna aina mbili za kuitawala mali uliyoichuma Duniani! Moja kuicha duniani ialibiwe/inajisiwe na uliowaacha maana wataitumia kadiri ya maono yao, Mbili: Kuitanguliza mbiguni kwa Mungu ili ukifa uikute kule peponi iwe ni fahari inayokuzunguka siku ukitwaliwa. Nikamuuliza unaitanguliza vipi kwa Mungu? Likajibu unaipeleka mbele ya madhabahu ya Bwana na Kuhani wa Mungu(mchungaji,nabii,mwalimu au askofu) ataiwakilisha mbele za Bwana kwa niaba yako maana yeye ndiye agent!
Niliishia kusema Mungu wajalie akili ya utambuzi hawa kondoo wanaopotea

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ndo wale wale akiambia na Mchungaji ameze shoka anaweza kumeza
 
Kuna limoja jana tunabishana kwenye kijiwe cha kahawa linasema kuna aina mbili za kuitawala mali uliyoichuma Duniani! Moja kuicha duniani ialibiwe/inajisiwe na uliowaacha maana wataitumia kadiri ya maono yao, Mbili: Kuitanguliza mbiguni kwa Mungu ili ukifa uikute kule peponi iwe ni fahari inayokuzunguka siku ukitwaliwa. Nikamuuliza unaitanguliza vipi kwa Mungu? Likajibu unaipeleka mbele ya madhabahu ya Bwana na Kuhani wa Mungu(mchungaji,nabii,mwalimu au askofu) ataiwakilisha mbele za Bwana kwa niaba yako maana yeye ndiye agent!
Niliishia kusema Mungu wajalie akili ya utambuzi hawa kondoo wanaopotea

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We acha masikhara, mtu mzima mwenye akili timamu kaongea hayo kabisa?!!!
 
Ndo uamini kuwa wajinga hawakosekani hapa duniani.

Na kutwa wanaenda kujazana huko hasa hapa bongo.

Inasikitisha sana.

Ndo maana nataka kubadili dini kuwa muislam au myahudi basi
Karibu kwenye Uislamu mkuu nipo tayari kukufundisha mengi yanayohusu Uislamu
 
ukiwa na roho ya kidunia huyu makenzie hauwezi kumwelewa,lakini ukiwa na roho kubwa utamwelewa,ni kweli dunia imefika mwisho,ndoa ya jinsia moja, na vita ya tatu imefika....china vs usa
Unaanza kufunga lini hadi ufe?
 
Kuna limoja jana tunabishana kwenye kijiwe cha kahawa linasema kuna aina mbili za kuitawala mali uliyoichuma Duniani! Moja kuicha duniani ialibiwe/inajisiwe na uliowaacha maana wataitumia kadiri ya maono yao, Mbili: Kuitanguliza mbiguni kwa Mungu ili ukifa uikute kule peponi iwe ni fahari inayokuzunguka siku ukitwaliwa. Nikamuuliza unaitanguliza vipi kwa Mungu? Likajibu unaipeleka mbele ya madhabahu ya Bwana na Kuhani wa Mungu(mchungaji,nabii,mwalimu au askofu) ataiwakilisha mbele za Bwana kwa niaba yako maana yeye ndiye agent!
Niliishia kusema Mungu wajalie akili ya utambuzi hawa kondoo wanaopotea

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kumbe wapo kweli asiee...

Hayo mambo huwa wanayatoa wapi aisee.

Hili ni tatizo la kumuamini sana mtu, mtu anamuamini mchungaji na kila atakachosema kwao ni sheria.
 
Of course natamani wajinga kama hawa wote wafie kwa wachungaji waio hivi ni mungu gani uyo wakumona na njaa
 
Ila kuna taarifa imepatikana kwamba walikuwa wanafungishwa kwa lazima, na wakitaka kutoroka wanauwawa, wengi sana wameuwawa walipojaribu kutoroka kutafuta chakula, aliweka walinzi
 
Back
Top Bottom