My tour these two weeks.

My tour these two weeks.

Nani kakwambia picha ni selfie peke yake?
Unashindwa hata kurusha picha za mandhari ya miji unayokatiza?
Ushahidi au kumbukumbu ya unayoyaangalia ni yapi?
Halafu umetoka Namtumbo huna update yoyote, ghafla upo Singida, inamaana umepita Jiji la Dodoma kimya kimya?
 
Mkuu sorry, kupigapiga picha et narusha huwa sipendi hata kama ni za mazingira
 
Karibu sana utatembea mpaka ziwa natron, jioni utafurahia sunset ukiwa unarudi na kuona mlima lengai na shimo la Mungu.
Ndio natamani sana kufika huko. Nilienda Natron nikiwa bd mdg mwaka 2001 June.
 
Shinyanga tayariiiiiiiii.Hebu subirini kidogo narud
 
Back
Top Bottom