My Tribute to Mtangazaji Charles Hillary, alikuwa ni mtu wa watu, mchapakazi, mwalimu, mcheshi, mchangamfu, Easy 2Talk2

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi
This is my tribute to this fallen hero of the media

Mwandishi wa habari mkongwe nchini Paschal Mayala amewashauri waandishi wa habari vijana kumuenzi mwanahabari mkongwe marehemu Charles Hillary kwa kujenga tabia ya kukubali kukoseolewa pale wanapoenda kinyume na maadili ya tasnia ya habari.

Akizungumza kwenye Kipindi cha Kioo cha TBC1 leo Mei 11,2025, Paschal ameeleza kuwa waandishi wa habari wa kisasa hasa vijana wamekuwa wakifanya makosa madogomadogo na pindi wanapokosolewa na wakongwe wa tasnia hiyo wanakuwa si wasikivu.

Soma Pia: Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Aidha, Paschal amewataka wanahabari wakongwe kumuenzi marehemu Charles Hillary kwa kuendelea kuwasaidia wanahabari vijana kwa kuwajengea uzoefu katika mambo mbalimbali yanayohusu tasnia ya habari.

Kaka Chale, alikuwa ni mtu wa watu, ni mtu, mchangamfu, mcheshi, an easy to talk to, lakini tukija kwenye kazi,ni kazi kazi, mchapakazi,mwalimu kwa maana ya mentor,na ukipindisha,ananyoosha!。

Hata humu jf, ametusaidia!
mtu aliyetajwa kwenye mabandiko haya kwa jina la Kaka Chale, ni yeye!Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Paskali

is it a normal Death?? Haya mambo yawe yawekwa wazi kama yapo waovu waogope!kimyakimya bila kuhoji tunakua hatumtendei haki marehemu
 
Wanabodi
This is my tribute to this fallen hero of the media

Mwandishi wa habari mkongwe nchini Paschal Mayala amewashauri waandishi wa habari vijana kumuenzi mwanahabari mkongwe marehemu Charles Hillary kwa kujenga tabia ya kukubali kukoseolewa pale wanapoenda kinyume na maadili ya tasnia ya habari.

Akizungumza kwenye Kipindi cha Kioo cha TBC1 leo Mei 11,2025, Paschal ameeleza kuwa waandishi wa habari wa kisasa hasa vijana wamekuwa wakifanya makosa madogomadogo na pindi wanapokosolewa na wakongwe wa tasnia hiyo wanakuwa si wasikivu.

Soma Pia: Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Aidha, Paschal amewataka wanahabari wakongwe kumuenzi marehemu Charles Hillary kwa kuendelea kuwasaidia wanahabari vijana kwa kuwajengea uzoefu katika mambo mbalimbali yanayohusu tasnia ya habari.

Kaka Chale, alikuwa ni mtu wa watu, ni mtu, mchangamfu, mcheshi, an easy to talk to, lakini tukija kwenye kazi,ni kazi kazi, mchapakazi,mwalimu kwa maana ya mentor,na ukipindisha,ananyoosha!。

Hata humu jf, ametusaidia!
mtu aliyetajwa kwenye mabandiko haya kwa jina la Kaka Chale, ni yeye!Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Paskali

Poleni Tasnia ya habari
 
Sauti ya Charles Hillary ilikuwa ya kipekee sana, nakumbuka mechi ya Simba vs Stella pale shamba la bibi mwaka 1993 alisema leo mtoto hatumwi dukani na uwanja mzima ukacheka, shambulizi lililofuata Stella wakafunga goli la kwanza.

Charles alikuwa zaidi ya mtangazaji, tangu miaka ile TZ ikiwa haina mitandao ya simu za mikononi alikuwa na tabia ya kuwataja wanamichezo ambao anajua watanzania wengi hawawezi kuwafahamu, ile ikawa ni tabia iliyosababisha vijana wengi tupende kuwajua hao wanamichezo aliowachomekea kwenye matangazo ya mechi ni akina nani.

Ucheshi wake ulimtofautisha sana na watangazaji wengine, mtu wa bashasha muda wote. Baada ya kuondoka RTD akaenda Radio One wakawa wanapenda kukaa kwenye ile bar pale Mwenge ukivuka barabara kutoka Radio One, yeye na marehemu Julius Nyaisanga.

Aliitendea haki tasnia ya utangazaji siku zote akijitahidi kujitofautisha na watangazaji wengine. Apumzike kwa amani Brother Charles Martin Hillary.
 
Alikataa kabisa uchawa wa kijinga
 
bado nina swali kwa mnayemjua, jina lake la hillary limetokea wapi? kwa maana ni la kike, na iweje awe na jina la ubini la kike ambalo hutumiwa na wanawake wa west kama jina la kwanza?
 
Back
Top Bottom