My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani jamaa anajiona yeye ndo yeye kumbe amejaza upuuzi tu ubongo wake.

Ukimsoma katikati ni ujuaji na ujinga umemjaa.

Halafu mwenyewe anajiona Kama Pdiddy vile.

Ukute anaandika akiwa kijijini kapanda juu ya mti wa mwembe akitafuta mtandao.


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] https://jamii.app/JFUserGuide mate no strings attached.

cc Ruttashobolwa
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yaani jamaa anajiona yeye ndo yeye kumbe amejaza upuuzi tu ubongo wake.
Kila mtu anaishi kwa life style yake na kila mtu yupo sahihi kwa life style yake.

Punguza kuiona ya kwako ni bora kuliko ya wengine.

Tupo tusiotaka na tusiopenda kuoa na wapo wasiotaka na wasiopenda kuolewa.

Na ipo life style yako unayoipenda.

Na zote ZIPO SAHIHI.
Ukimsoma katikati ni ujuaji na ujinga umemjaa.
Nature ya mwanaume ni kupenda ngono na Mi binafsi napenda ngono na naifanya kwa starehe (obey the nature).

Na ili iwe tamu hufanya kwa wengi.

Inakuaje Tamu kila siku una lala na K hiyohiyo?

Halafu vile Nikuoe then leo nataka ukaniambia umechoka then unibanie starehe yangu?

Na kwanini ufuge kuku huku mayai ni bei rahisi?

Na kwakuwa naipenda ngono basi lazima NIJILINDE.

Tatizo lako unataka nikwambie nimeoa na nina watoto kadhaa ndio unione mjanjaa.

Nachomwambia, wapo wenye ndoa zao na wanajiona WAJINGA kuoa.
Halafu mwenyewe anajiona Kama Pdiddy vile.
Kila mtu ana life style yake na yuko sahihi.
Hakuna aliye Put duddy wale chokoraa juu ya life style yake.

Usitake kila mtu aishi yale maisha UNAYOONA WEWE NDIO SAHIHI.
Ukute anaandika akiwa kijijini kapanda juu ya mti wa mwembe akitafuta mtandao.
Usipende kudharau usiye mjua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] **** mate no strings attached.

cc Ruttashobolwa
Yap; No string attached ni maisha niliyochagua mimi.

Njoo ghetto lala, kesho amka chukua pesa yako na usepe.

No string attached:- mambo ya baby uko wapi, baby sijui what, sijui this and that no.

Between me and you there is MONEY only.

TUENDELEE KUTAFUTA PESA.



#YNWA
 
Hichi kipande nimekikubali


Unakuja ghetto unachukua mshiko na mm nala papuchi

Inabidi siku hizi waoaji watatafuta kwa tochi watu tushaanza kushtuka
 
Yaani watu wangejua hayo maisha yalivyo stress free na full raha wangeachana na ujinga wa ndoa.
 
mkuu inabidi uanzishe uz/stori "jinsi nilivyonusurika ngoma kwa mtoto mbichi,dompo imeniokoa"
 
Kwa hiyo una mpango wa kutengeneza single mothers wanne...

Unasikitisha sana...
Hawatakua single maza.
Watoto nibakia nao mimi then wao wanaenda kuolewa.

Na hizo Mimba hazitoingia bahati mbaya.
Itakua ni full makubaliano.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…