My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

Afu kingine msichokijua mimi sikuwa najipendekeza kwa walimu , na wala sikuwa na rafiki yeyote mwalimu
 
Dah!
 
Padre ana mtoto anayetambulika wazi wazi namna hiyo?
Ukifanikiwa kufika Musoma mjini kata ya Makoko mtaa wa wa Nyaligamba kuna vijana KANI na NORAH ni watoto wa mama na baba yao ni PADRE mpaka nyumba aliwajengea mpakani na himaya ya Katoliki (Makoko Center.
Nyarigamba [emoji1] kitambo sana. Nimesoma hapo
Watoto tajwa una wafahamu?
 
Unaonekana ulikuwa mnoko sana adi leo una element za unoko, inaonekana hiyo shule uliyokuwa unawachapa wanafunzi wenzio viboko ipo mkoa fani, wanafunzi na walimu wako walikuwa mazuzu na mafala kukubali upumbavu wako.
 
Afu kingine msichokijua mimi sikuwa najipendekeza kwa walimu , na wala sikuwa na rafiki yeyote mwalimu
Ni sawa ila ulikua unafanya hayo uonekane better n bora kwa walimu mana wenzio walishakukacha
 
Umenikumbusha mbali sana.

Kuna wakati mwingine mtu unaweza kutumika kwa manufaa ya wengine bila kujua.

Wakati mwingine ni destiny huwezi ikwepa....umeitwa assembly,umeitwa kwenye midaharo,kuchaguliwa kiongozi bila kupenda vyote 💪💪
 
Unasema ulimpiga mtoto wa Padre, kwani mapadri wana watoto?

Halafu hiyo ni mwaka gani ambapo mwanafunzi anaruhusiwa kumpiga mwanafunzi mwenzake?
 
Unasema ulimpiga mtoto wa Padre, kwani mapadri wana watoto?

Halafu hiyo ni mwaka gani ambapo mwanafunzi anaruhusiwa kumpiga mwanafunzi mwenzake?
Ni chai mkuu tuachane nayo, nilikuwa natafuta tu attention ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…