My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

Unasema ulimpiga mtoto wa Padre, kwani mapadri wana watoto?

Halafu hiyo ni mwaka gani ambapo mwanafunzi anaruhusiwa kumpiga mwanafunzi mwenzake?
Kuna baadhi ya shule, kiranja Mkuu alipewa ruhusa hiyo. Bora ukutane na Mwalimu Mkuu anaweza akakuonea huruma. Kuna baadhi ya viranja wakuu walikuwa miungu watu na waliwaumiza sana wanafunzi wenzao. Hiyo nazungumzia miaka ya sabini na themanini.
 
Basi nyie baba zetu mlikiuka sana haki za raia.
 
Wewe ni mkatili hufai wewe ni dizaini ya john
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…