Kaka hapa you are missing a point,
Idea ya kupunguza foleni barabarani ni pamoja kupunguza idadi ya Magari barabarani (yakiwemo yale binafsi)
Kama kukiwa na usafiri mzuri wa umma, watu wengi wataacha magari yao majumbani na kutumia magari ya uma, (decent commuter trains + brt)
Mimi nakaa Kimara na nimeona wengi wakipaki magari yao Kimara mwisho na kudandia mwendokasi hadi posta, wakirudi wanachukua magari yao, tayari hapa Kimara kuna parkings ambazo ukiacha chombo yako hapo ni buku tu kwa siku nzima na ulinzi upo,
Mimi pia nikiwa na mishe posta weekend huwa naacha chombo hapo nadandia mwendokasi fasta. Japo katikati ya wiki bado sishawishiki kutumia public transport.
Honestly, decent trains and Brt was better idea than the stupid overpriced chinese owned expressway. Upuuzi wa Kenya hakuna Africa nzima, kukosa maono kwa viongozi wa Kenya ndio kunafanya overpriced projects za mikopo ya wachina kama SGR na Lamu port kuwa white elephants.