My view on Kenya elevated express toll roads

Hayo mabasi yako wapi
I have to ask, how old are you? Maana naweza kuwa na waste my time with you here.

Unachobisha ni mabasi 12, kuwepo kwa hiyo route, aina ya mabasi ama nini haswa? Maana naona link imejieleza vizuri.

Au ilimradi tu kubisha.
 
NAMATA inaongelea bus schedules kenya.co.ke inaongelea mabasi[emoji1787][emoji1787]
Yani habari zimegongana, ile siku utapata hayo mabasi unayoyaongelea uyalete
We jamaa wewe una matatizo. Angalia hiyo Kenyans.co.ke utaona inaongelea mabasi na routes zake.

Kaa chini compare hizo routes na zile kwenye NaMATA
 
The governet unveils brt busess schedules, na wewe hapa unaleta link za 12 busess..
Nasubiria unieleze hayo mabasi yalizinduliwa na nani tena lini kutoka wapi
We siyo mzima. Nadhani post yangu hapo juu [emoji115]imekujibu hili swali
 
I have to ask, how old are you? Maana naweza kuwa na waste my time with you here.

Unachobisha ni mabasi 12, kuwepo kwa hiyo route, aina ya mabasi ama nini haswa? Maana naona link imejieleza vizuri.

Au ilimradi tu kubisha.
Website ya NAMATA hakuna mahali imetaka mabasi kumi na mbili, we unajua maana ya ku unveil routes au unawehuka tu hapa
 
We jamaa wewe una matatizo. Angalia hiyo Kenyans.co.ke utaona inaongelea mabasi na routes zake.

Kaa chini compare hizo routes na zile kwenye NaMATA
Yah!!wame copy paste alafu wakaongezea chumvi to gain more viwers na lao likafanikiwa kw sababu wakenya walioiga kelele sana bila ya kutafakari.

Kwanza kenya.co.ke tangu lini ikawa credible source kuhusu NAMATA
 
Website ya NAMATA hakuna mahali imetaka mabasi kumi na mbili, we unajua maana ya ku unveil routes au unawehuka tu hapa
Kwa sababu pale siyo sehemu ya news my friend. Vipi unakwama wapi. Unataka uonyeshwe choo na jinsi ya kunya pia.

Seriously. Ndiyo maana nika kupa link zote mbili.
 
Yah!!wame copy paste alafu wakaongezea chumvi to gain more viwers na lao likafanikiwa kw sababu wakenya walioiga kelele sana bila ya kutafakari.

Kwanza kenya.co.ke tangu lini ikawa credible source kuhusu NAMATA
Huu ni utoto sasa. We naona unataka ligi za kipumbavu tu hapa. Tuna potezeana muda. Sina muda wa kipuuzi kiasi hiki.
 
We siyo mzima. Nadhani post yangu hapo juu [emoji115]imekujibu hili swali
Oooo!!bado unaongelea wale wahuni wanaopachika habari zao opera news, sasa hapa kumbe napoteza mda wangu..

Yani mada ya NAMATA lkn maelezo unataka tutumie ya kenya.co.ke..

Sasawa mzee baba, endelea kupiga kelele tu
 
Huu ni utoto sasa. We naona unataka ligi za kipumbavu tu hapa. Tuna potezeana muda. Sina muda wa kipuuzi kiasi hiki.
We ushaishiwa, tangu lini kenya.co.ke ikawa credible source.
We mpuuzi sana kumbe, au vile wakenya walichangia basi ukaona kweli..
Haya kawaambie wamesahau kusema km hayo mabasi yalizinduliwa wapi
 
Oooo!!bado unaongelea wale wahuni wanaopachika habari zao opera news, sasa hapa kumbe napoteza mda wangu..

Yani mada ya NAMATA lkn maelezo unataka tutumie za kenya.co.ke..

Sasawa mzee baba, endelea kupiga kelele tu
so hawa wote wanasema uwongo pia?

You are in denial my friend.
 
Kumbe nabishana na mtu wa kuokota vitu nairobi news, tuko, nairobi wire[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kakojoe ulale jomba
 
Kumbe nabishana na mtu wa kuokota vitu nairobi news, tuko, nairobi wire[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kakojoe ulale jomba
So all of those are wrong, they are lying but you. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
And no one has bother corrected them or call them out on the wrong or misleading article.

They are all "Fake News" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Seriously men. I think nitaishi hapa for now.
 
Kaongeze na ya kilimani mums uje uipost[emoji1787][emoji1787]
Wakenya nishaua mtu[emoji1787][emoji1787]
 
Acha nikuache, una nipotezea mda bure..
Ee Mungu jamani!ungelinijuza mapema km huyu ni type ya kina kilimani mums[emoji1787][emoji1787]
Kwahera dogo la tuko news
 
Tangu lini Lamu port ikawa ni ya mikopo ya Wachina?
 
Buiding a two-way rail instead of a road would have costed double or triple the price of this expressway. Constructing a rail is always more expensive than constructing a road. What will make it even more expensive is that 13 km of the rail will be elevated on pillars. The Viaduct for the rail needs to be stronger than the viaducts for a normal road because a single diesel or electric multiple unit, fully loaded with passengers will weigh more than 70 tonnes. So it would have been a very expensive affair to have 13 km of reinforced bridge. SGR being built in Dar has a short viaduct of maybe 1 or 2 km but you can see how strong that bridge is. That viaduct is strong but costly to build and requires more time to build. Now imagine the Dar viaduct being constructed for 13 kilometres and now you begin to understand how costly this project could be. The Lahore line was over-budget. The Lagos metro line is a disaster. It was launched, if I am not wrong, in 2007 and 13 years later even the first phase it is not yet finished. It is a complete disaster. Metro projects tend to go over-budget or over-deadline.
 
You seem to suggest that this expressway will not solve the traffic problem yet every person I have seen talking about this project objectively tend to agree that in the short term (5-10 years) this project will reduce traffic jam. Even if you want to argue that Kenyans will buy more cars and fill up the road again but this will not happen over-night. Kenyans are still third world people and our income per capita is still low and it will take us several years before we fill this road with cars. By the way since the expansion of Thika road, Thika road rarely experiences grid-lock traffic where cars are not moving at all. Mind you we are now more than 10 years since the expansion of Thika road and yet Traffic seems to be moving unless there is a road accident. Yet Mombasa road always experiences grid-lock traffic where cars are not moving whether there is an accident or not, whether it is rush-hour or not. Thika road had enough space for expansion outwards but Mombasa road does not have this space because it is a heavilly built area with industries and real estate so the only option is to go up. This expressway will alleviate traffic for a few years but eventually the traffic will come back again as more Kenyans buy more cars. I just wanted you to stop saying that this project will not reduce traffic because it will reduce traffic in the short term just like Thika road did and just like Ubungo flyover is doing in Tanzania but believe me, Ubungo flyover will have alot of traffic jam 20 years from now because more cars will be passing there.
 
Kama vile umeambiwa hapo, Mombasa- Kampala road is the most important and busiest road in Kenya. It experiences grid-lock traffic jam 24-7 so expansion was inevitable. Lazima upanuzi ungefanyika ila kwa sababu ya kukosa nafasi kando kando mwa barabara ikabidi ujenzi ufanyike kuelekea juu. By the way building this expressway is not mutually exclusive to building a metro rail. We can build both and in fact we are planning to build both. A French company has been given a contract to construct a rail line from JKIA to CBD. So we can do both but what disturbs me is that you have this faulty and weird idea that a road full of grid-lock traffic like Mombasa road should not be expanded and instead a metro-rail will magically reduce the traffic there. Then why did you build Ubungo flyover? You should have built a metro rail there? Expansion of roads is not a stupid thing especially for roads that have bad traffic jams. Even in Europe where they have metros and light rails and BRT and trams e.t.c they still expand their roads. Are they stupid for expanding their roads? Yes we should build metros and trams e.t.c but that doesn't mean we should stop expanding our roads, come on, that is a dud argument.

Cc Geza Ulole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…