My view on Kenya elevated express toll roads

My view on Kenya elevated express toll roads

Dah baada ya jamaa wa Wivu Choir kuumwa kweli kweli hadi kwenye firigisi, kwasababu ya hii expressway ya Nairobi, walijikakamua wakaketi kwenye kikao wakajadili watoke vipi. Waone sasa wanavoibuka na picha za nje ya bara hili wakizitumia kuponda mradi huu. Hivi wadau hamna hata kapicha kamoja tu ka mradi kama huu kule Jamhuri mpya ya Chato? [emoji57]
hii sio sehemu ya picha za project za chato, jifunze kukubali chakp hata kama ni dhaifu[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Dah baada ya jamaa wa Wivu Choir kuumwa kweli kweli hadi kwenye firigisi, kwasababu ya hii expressway ya Nairobi, walijikakamua wakaketi kwenye kikao wakajadili watoke vipi. Waone sasa wanavoibuka na picha za nje ya bara hili wakizitumia kuponda mradi huu. Hivi wadau hamna hata kapicha kamoja tu ka mradi kama huu kule Jamhuri mpya ya Chato? [emoji57]

Kwangu mimi naona wapo sahihi, wameacha kujitutumua kujilinganisha na sisi, sasa wamehamia kutuletea mapicha ya New York wailinganishe na Kenya, hapo freshi maana hivi karibuni tutakua tunapambana na huko Ulaya, ni dhahiri huu ukanda wa Afrika tumeuhama wamebaki wapambane wenyewe.
 
The in built flaw in your "critique" is that youre criticizing your neighbors car but you don't have one. At some point you start looking like a salty jealous neighbor because you're not minding your business.

If you wanna knock the express way or the commuter train by all means go forth and be great but keep in mind that you don't have any of those in Dar
 
Back
Top Bottom