My vision: kocha Robertinho hastahili kupewa mkataba (kandarasi) ya muda mrefu kwa sababu zifuatazo

tangu lini ukawa mwanasimba
 
HATARI SANA.
 
Ashaweka ngao kabatini, sasa inatumika kuzuia mishale yote.
 
Ukiona mbali sana.
 
Ukiona mbali sana.
Maneno mengi na miruzi mingi itaenda kuwaondolea Simba kocha Bora Kwa mara nyingine [emoji736]

Haya yalimtokea kishingo alisemwa Sana akazushiwa kagombana na kagere kisa tu alikuwa hampangi Kwa sababu aliamua kubadilika kutoka kucheza na washambuliaji 3 na kuja kucheza na mshambuliaji mmoja lkn Wana zengo Kwa sababu walizoea uchebe anacheza na washambuaji 3 bc japo timu ilikuwa inashinda lkn walitka kuona bado kishingo haingizi mbinu zake bali aendelee na mbinu za uchebe
Kishingo alicho kifanya aliingiza timu makundi hlf akasepa zake maana Yale maneno alikuwa anayaona

Alikuja Gomes nae alifanya vzr Sana mwanzo na kuitengeneza Simba Bora Sana lkn baadae aliakuwa na yeye hampi nafasi kagere anamtumia bocco na mugalu Wanazengo Waka Anza kumnanga
Baadae likaja swala la VIBALI Wanazengo wakaona wamchinje hapo hapo bwana Gomes
[emoji3532]Sasa ni Mr Robertinho kocha ambae alikuta Simba inayo tengenezwa upya baada ya kupoteza ubora wake lkn angalia maneno anayo tupiwa utafikilia kaikuta Simba kama man city tutulie wana simba
 
Yametimia, tunalia milio yote Kwa Sasa.
 
Unabii huu unakwenda kutimia hata kwa kuchelewa ila lazima utatimia
 
Yangu inawachallange sana simba hali inayopelekea mashabiki kuumia moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…