My Wedding Anniversary

Mungu akubariki na kukuzidishia uzao wako mkuu.

Hongera sana ndugu yangu
Mkuu, nashukuru sana kaka.

Hongera sana Mkuu.
Salaam nyingi kwa Shemeji na Watoto.
Mkuu nashukuru na nimeongera sana, salamu zimefika na kwa niaba yake na watoto nasema shukran sana sana.

Congratulation Mkuu.
Ahsante kaka.

hongera sana
Shukran mkuu.

Kaka hongera sana nami najifunza kitu hapa kutoka kwako pindi niingiapo nami iwe zaidi na zaidi ,Mungu aendelee kuwabariki kwa dhati kabisa
Mkuu Lau, shukran mkuu, wala usiwe na wasiwasi ndoa tamu bana asikwambie mtu.
 
Hongera kaka, namuonea wivu kweli mkeo ..... lol
Nashukuru Zinduna, ah ah ah ah, wivu wa nini Zinduna... Shemeji ajambo lakini?

What a MAN on Earth. Big kiss
Thanx Mkuu... Mkuu you are still Loading...!?

hongera sana mkuu
Shukran ndugu....

Heri yako wewe uliye na shukrani za dhati kwa mkeo,
na MUNGU awabariki sana.
Ahsante Mmdenyi, pamoja sana.

Wengi wangeleta positive side nyingi za ndoa ingesaidia vijana wasiogope ndoa!

Hongera sana Paster na my wife wako!
Mkuu Kaunga ni kweli maneno yako, na hii si kwenye maisha binafsi tu hata uko kwenye siasa na politiki.

Shukran mkuu.
 
Hongera sana Mkuu, Mungu awaongoza katika yote mnayofanya. Aidha, shukrani kwa kutushirikisha nasi ambao tunatarajia kuingia huko ili tufahamu jinsi ya kuishi katika ulimwengu huo.
 
Hongera sana Mkuu, Mungu awaongoza katika yote mnayofanya. Aidha, shukrani kwa kutushirikisha nasi ambao tunatarajia kuingia huko ili tufahamu jinsi ya kuishi katika ulimwengu huo.
Nashukuru sana mkuu, karibu sana kwenye ulimwengu wa raha na majukumu.
 
X bana,umeongea saaaaaaaaaaaaaaana,
vipi ushawahi ku cheat?? iwe kwa mawazo,maneno au kwa matendo? if yes,vipi mai waif wako alikubamba? ilikuwaje?
 
..........hongera sana, Mungu awajalie uhai mfikishe miaka 50 ya ndoa pamoja.
 
Pongezi zangu za kwanza zimfikie mwanamke mwenzangu kwa kupata mume anaemjali na kumthamini. Pili, nawapongeza nyote kwa kuweza kuitunza ndoa yenu! Mwenyezi Mungu awajaalie salama, mzidi kuimarika zaidi! Be blessed dears........
 
Hongera sana X-PASTER. Keep it up na Mungu awatangulie. Bora leo tumepata MATAMU ya ndoa, maana watu huwa wanaleta yale machungu tu ambayo ni magumu kumeza.... Kiasi kwamba walio nje wanaogopa kuingia.
 
Hongera sana.Mwenyezi Mungu awajaalie miaka yenye amani na furaha tele!
 
Hongereni sana. Nawatakia kila la heri
 
Hongereni sana...
Mungu aibariki ndoa yenu msherehekee miaka mingine mingi pamoja!!
 
Hongera sana miaka 12 sio mchezo aisee...Mungu azidi kuwapigania....Happy anniversary
 
Hakika una kila haki ya kuturingia kwa kuwa mke wako hukumpata kwa akili zako ila ulipewa na Bwana ,naamini Mungu alikupa mwenzi wa kufanana naye na ndio maana ktk ups na down mmekuwa pamoja,Nakufurahia na Mungu wetu azidi kuilinda na kuibariki familia na ndoa yako .
 
hongera sana mkuu
Ahsante mkuu.

X bana,umeongea saaaaaaaaaaaaaaana,
vipi ushawahi ku cheat?? iwe kwa mawazo,maneno au kwa matendo? if yes,vipi mai waif wako alikubamba? ilikuwaje?
Ah ah ah, Bishangaaaaa...! Hapo ndio nimefupisha kwa 95% Ningeandika yote ni sawa na kitabu chenye kurasa elfu kadhaa.

Ku cheat!? Why?

..........hongera sana, Mungu awajalie uhai mfikishe miaka 50 ya ndoa pamoja.
Shukran Pretty, nawe nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako/yenu.
 
Pongezi zangu za kwanza zimfikie mwanamke mwenzangu kwa kupata mume anaemjali na kumthamini. Pili, nawapongeza nyote kwa kuweza kuitunza ndoa yenu! Mwenyezi Mungu awajaalie salama, mzidi kuimarika zaidi! Be blessed dears........
Kwa nihaba yake nami nachukuwa nafasi kupokea pongezi kutoka kwako, pili napokea kwa furaha pongezi ulizotoa kwetu sote wawili...
Nawe pia Mwenyezi Mungu akujaalie mazuri na ya halali yanayopenda moyo wako, ybarikiwe sana.

Hongera sana X-PASTER. Keep it up na Mungu awatangulie. Bora leo tumepata MATAMU ya ndoa, maana watu huwa wanaleta yale machungu tu ambayo ni magumu kumeza.... Kiasi kwamba walio nje wanaogopa kuingia.
Nashukuru neggirl, kuna mambo mengi mazuri na matamu kwenye ulimwengu wa ndoa, na haswa mkiwa wote ni wenye kujaliana na kuaminiana. Na kubwa zaidi ni kuangalia yale ambayo si mazuri kumtendea mwenzio... Kwenye ndoa msiporekebisha vijimambo vidogo vidogo mwishowe uja yakawa makubwa kiasi mkashindwa kujua nini chanzo, wakati chanzo ni nyinyi wenyewe kuanza kuchokana kwa vitabia ambavyo hata mkiambiwa kuvieleza mnashindwa wapi pa kuanzia.

Hongera sana.Mwenyezi Mungu awajaalie miaka yenye amani na furaha tele!
Nami nashukuru sana, nawe Mwenyezi Mungu akujaalie amani, utulivu, furaha na upendo kwenye maisha yako.
 
mkuuuu hongera mnooo MUNGU AWAJALIE MAMBO MAKUU ZAIDI!
 
Hongereni sana. Nawatakia kila la heri
Ahasante sana Kikahe.

Hongereni sana...
Mungu aibariki ndoa yenu msherehekee miaka mingine mingi pamoja!!
Shukrani Lizzy, nami nakutakia furaha, mapenzi ya kweli na utuliv kwenye maisha yako.

Hongera sana miaka 12 sio mchezo aisee...Mungu azidi kuwapigania....Happy anniversary
Shukrani Gaga, ni kweli miaka 12 ni mi mingi na si mingi pia, maana wazee wetu walikuwa wakiishi zaidi ya miaka 40 kama si 50 na kuendelea na ndoa zao zilikuwa ni za kupangiwa na wazazi wao, si kama hizi zetu za kuchuwana kwanza kwa kisingizio cha kuzoeana, na kisha baada ya miaka michache kama si miezi kadhaa kwenye ndoa, kila mtu anaamua kuangalia ustaarabu wake...!

Ah ah ah ah, Ahsante sana... unajuwa tunaambwa ukipata baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu basi tuzitangaze kwa kushukuru na kutoacha kufanya maombi na sala ili kupata ulinzi wake, maana dunia hii ya sasa kama vile tupo kwenye pori lenye wanyama wa kila aina.
Shukrani sana.

mkuuuu hongera mnooo MUNGU AWAJALIE MAMBO MAKUU ZAIDI!
Ahsante sana Mkuu Henge, nawe pia ndugu yangu.
 
Mashallah! Mwenyezi Mungu akuzidishieni mapenzi ya dhati baina yenu na akuepushieni kila shari na husda. Muendelee kuwa mfano kwa watoto wenu, majirani na jumuiya kwa ujumla. Hongereni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…