My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

Wakuu poleni kwa majukumu ya kupambana na maisha.
Baada ya utangulizi pls naombeni ushauri juu ya linalonisibu.
Last year june nilikutana na binti1 mrembo sana machoni mwangu,nilipomfatilia kitabia sikumuona kama anakasoro,jan mwaka huu nilibahatika kupata namba yake ya simu na kufanya nae mawasiliano,but nilipomuomba tuonane alikataa katakata.
Nilijaribu kumwambia asiwe na khofu lakini ikawa ngumu,bcoz mtoto nilisha mpenda nilianza kumfanyia surprise,hii ilinisaidia kiasi kumfahamu kitabia,mpaka sasa nimeweza kufahamiana na mamake mzazi na dadake,hii imerahisisha sana kazi maana binti amekubali tuonane mwezi wa8 but kwa masharti.
1.Ni muahidi kama ntamuoa
2.Aje na dadake kwenye kikao chetu.
Kwangu mimi hapo ni hiyo point1(kumuoa)
Sasa tayari tumeshakubaliana baadhi ya mambo ya msingi na amenipa uhakika wa 90% kwamba mm ndiye ntakua baba wa watoto wake.
Sasa ili nisimshitukize my wife nikaamua kumwambia ki utu uzima kwamba nataka kuongeza jiko la2,cha ajabu wife alifurahi sana na kuniambia kwamba alikua akiisubili kauli hii kwa muda mrefu na pia nijaribu kuchagua shamba zuri na lenye rutuba ili nipate mazao mazuri,na cha ajabu zaidi anasema angependa anisaidie juu ya mchakato mzima wa kumpata second wife.Naanza kumuonea huruma my wife bcoz tangu nimpe taarifa hizi amechange sana,anaongea nami kwa upole zaidi na kwa heshima.
Wadau naombeni msaada juu ya kumtendea uhadilifu mke wangu kipenzi maana jiko jipya linaweza nichanganya?
Binafsi nimepanga ntakaa kwa bi mdogo for 3months tangu siku niliyomuoa then ndio ntaweka ratiba wazi,kama ni wiki wiki or???

uwe mwangalifu na kukubali kwake ,Isije ikawa anataka kujustfy infidelity yake.
 
I'm just thinking out loud here, 'I never believed that there is a decent more than 1 wife marriage. Because if one woman does not satisfy a man the no woman can satisfy that man'.
 
Ahsante sana mkuu,yani ktk jf members waliouchangia uzi huu mpaka sasa wewe ndiye mwenye akili zaidi,yes binafsi napenda kudeka so nikiwa na wawili ntaenjoy sana,thanks a lot mkuu kwa ushauri.
When it is the right time ntakutafuta uje ushuhudie jinsi nntakovyoongeza jiko la2.
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu.QUOTE)

AMA KWELI KICHAA MUONYESHE JALALA ATAFURAHI KWELI KWELI HAHAHA
 
mkeo mkubwa either hana akili timamu, ni mbumbumbu, au wewe huwa humridhishi unamsumbua tu mkiwa kitandani ndio maana anaona bora ukahangaike na mwingine, pengine yeye kwenye ile zamu ya wikiwiki ukiwa kwa bimdogo ataenda kwenye kidumu chake ambacho kidogo huwa kinamkuna akafikika...kama una kazi ya masafa basi umeliwa mkeo, hakupendi wewe, anaishi hapo kwasababu fulani tu ...angakuwa kweli anakupenda, wewe uko moyoni mwako, angekuwa na wivu mkubwa sana kwako...watu wanaopendana kwa dhati wanakuwa na wivu aisee...hasa suala la kuoa mwanamke mwingine, mbona lazima pachimbike..wewe kama amekuwa na upendo kwako tu,...aisee hapo kuna tatizo....laweza kuwa ni mtego fulani kwako au kakuwekea fumbo....hapo kuna walakini....hata ivyo...utaweza kumudu kweli wanawake wawili na wewe kazi zako ni za kusafiri? ukisafiri wiki tatu au mwezi, uku nyuma mke mkubwa na mdogo wote wanakusubiria tu wewe urudi? utaleta ukimwi ndani...labda kama umeoa mzee, lakini kwa wasichana hawa ambao damu inachemka, wewe utakuwa second hand tu mzee,...pole sana...nakushauri baki na huyu mmoja tu uliye naye, umridhishe, risk yake itakuwa ndogo kuliko ukiwa na wawili..tutakupoteza muda si mrefu.
 
Wakuu poleni kwa majukumu ya kupambana na maisha.
Baada ya utangulizi pls naombeni ushauri juu ya linalonisibu.
Last year june nilikutana na binti1 mrembo sana machoni mwangu,nilipomfatilia kitabia sikumuona kama anakasoro,jan mwaka huu nilibahatika kupata namba yake ya simu na kufanya nae mawasiliano,but nilipomuomba tuonane alikataa katakata.
Nilijaribu kumwambia asiwe na khofu lakini ikawa ngumu,bcoz mtoto nilisha mpenda nilianza kumfanyia surprise,hii ilinisaidia kiasi kumfahamu kitabia,mpaka sasa nimeweza kufahamiana na mamake mzazi na dadake,hii imerahisisha sana kazi maana binti amekubali tuonane mwezi wa8 but kwa masharti.
1.Ni muahidi kama ntamuoa
2.Aje na dadake kwenye kikao chetu.
Kwangu mimi hapo ni hiyo point1(kumuoa)
Sasa tayari tumeshakubaliana baadhi ya mambo ya msingi na amenipa uhakika wa 90% kwamba mm ndiye ntakua baba wa watoto wake.
Sasa ili nisimshitukize my wife nikaamua kumwambia ki utu uzima kwamba nataka kuongeza jiko la2,cha ajabu wife alifurahi sana na kuniambia kwamba alikua akiisubili kauli hii kwa muda mrefu na pia nijaribu kuchagua shamba zuri na lenye rutuba ili nipate mazao mazuri,na cha ajabu zaidi anasema angependa anisaidie juu ya mchakato mzima wa kumpata second wife.Naanza kumuonea huruma my wife bcoz tangu nimpe taarifa hizi amechange sana,anaongea nami kwa upole zaidi na kwa heshima.
Wadau naombeni msaada juu ya kumtendea uhadilifu mke wangu kipenzi maana jiko jipya linaweza nichanganya?
Binafsi nimepanga ntakaa kwa bi mdogo for 3months tangu siku niliyomuoa then ndio ntaweka ratiba wazi,kama ni wiki wiki or???

uwe mwangalifu na kukubali kwake ,Isije ikawa anataka kujustfy infidelity yake.
 
Ungejibia hapa mkuu tukapata na sie idea, manake nawaza kusaka mume wa pili. Ngoja nione kama haya majibu yako yatanishawishi.
Teh teh teh,ukipatwa na wazo la kuongeza mume wa pili pls ni pm lol!
 
miezi hiyo mitatu utakayomuacha mkeo mkubwa, nani atakuwa nalima shamba lake na kupalilia pale magugu yanapoota? mnatafutaga mabalaa wenyewe, wazuri wanazaliwa kila kukicha, utatamani sana tu watoto na bado, nikikuwekea picha ya twins wangu hapa utaanguka na ndio kwanza ni makinda. kama hakuna tatizo la msingi la kupelekea wewe kuoa mke mwingine wanaume , hebu muwe na staha, kha!
Ebu weka hiyo picha pls,pengine naweza piga 2 kwa mpigo ili niwe nao wa3 lol.
 
Kama wewe muislamu kapate ushauri kwa sheikh au ingia jukwaa la dini.....
 
Brother, huyu wa sasa hivi ana kasoro gani?

Maana kuoa mke wa pili bila kuwa na sababu yoyote ya msingi si jambo jema maana unajiongezea yafuatayo
1. Gharama za matunzo na maisha kwa ujumla
2. Mtandao wa mahusiano kuongezeka (kama ulivyosema utakaa kwa bi mdogo miezi 3, unatagemea yeye akae anakusubiri bila mtu?
3. Risk ya Magonjwa
4. Ugomvi baina ya hao wake zako - Mara nyingi hufanyiana visa nk

Fikiri vizuri kabla ya maamuzi yako. :A S confused:
 
Ushauri wangu ni kwamba, sihitaji sababu ya wewe kutaka kuoa mke wa pili, kwa sababu hata usipotangaza kuoa, bado utaendelea kufanya uzinifu {kuwa na mahawala}. Nakushauri kuwa utimize misingi ya ndoa. Usitake kuoa kwa kuangalia position aliyonayo huyo mchumba, maana wanaume wengi wanapenda kuoa mke wa pili, ukimuuliza sababu atakwambia, "yule mwanamke ana kazi yake, na anayamudu maisha yake..." kwa hiyo anaoa ili mradi tu aepuke zinaa na si suala zima la UMUME. Ni hapo mwanamke nae atakapogundua kuwa anatumiwa atakapoota mbawa. Hivyo utimize majukumu yako kama mume, kama ambavyo umeyafanya kwa mke mkubwa. Umtunze na kumjali mke mdogo na kumpa heshima yake, na ikizingatiwa kuwa bi mkubwa katoa ruksa, ni wewe tu kuwaweka sawa.

Umesema utakaa kwa mke mdogo mfululizo miezi 3????????????????????????????? why???????????????????? huoni kwamba ukimaliza hiyo miezi 3 hamu yote ya kuoa mke wa pili itakuwa imeisha? Nakushauri ukae siku saba tu, then upange zamu kwa kadri mtakavyokubaliana
 
Kama unaweza tafuta mitutu miwili ili uwe unashambulia kotekote kwa usawa. Vinginevyo jiandae kushambuliwa na wenye bunduki kali kuliko yako ama kwa bi mkubwa au mdogo.
 
Hebu jiulize mdogo wangu, Je yeye angekuwa ni wewe na wewe ndiyo yeye, na akufanyie kitu kama hicho ungejisikiaje?
 
mzee uko fiti mbaya..pamoja na mfumuko wa bei bado unaongeza mke??
 
miezi hiyo mitatu utakayomuacha mkeo mkubwa, nani atakuwa nalima shamba lake na kupalilia pale magugu yanapoota? mnatafutaga mabalaa wenyewe, wazuri wanazaliwa kila kukicha, utatamani sana tu watoto na bado, nikikuwekea picha ya twins wangu hapa utaanguka na ndio kwanza ni makinda. kama hakuna tatizo la msingi la kupelekea wewe kuoa mke mwingine wanaume , hebu muwe na staha, kha!

Umemwambia vizuri sana!..Tamaa ya kuwa na mwanamke wa nje kwa sisi wanaume haiwezi kwisha, kikubwa ni kuziba macho na masikio!!!
 
duh miezi mitatu uko na bi mdogo?
na huku analima nani?
mke sio kiatu ukikivua kinakaa tu hadi ukivae tena
 
Brother, huyu wa sasa hivi ana kasoro gani?

Maana kuoa mke wa pili bila kuwa na sababu yoyote ya msingi si jambo jema maana unajiongezea yafuatayo
1. Gharama za matunzo na maisha kwa ujumla
2. Mtandao wa mahusiano kuongezeka (kama ulivyosema utakaa kwa bi mdogo miezi 3, unatagemea yeye akae anakusubiri bila mtu?
3. Risk ya Magonjwa
4. Ugomvi baina ya hao wake zako - Mara nyingi hufanyiana visa nk

Fikiri vizuri kabla ya maamuzi yako. :A S confused:
Hana kasoro yoyote,but sitosheki na nnaona kama namtesa,kuzini sitaki so bora nioe kabisa.
 
Ushauri wangu ni kwamba, sihitaji sababu ya wewe kutaka kuoa mke wa pili, kwa sababu hata usipotangaza kuoa, bado utaendelea kufanya uzinifu {kuwa na mahawala}. Nakushauri kuwa utimize misingi ya ndoa. Usitake kuoa kwa kuangalia position aliyonayo huyo mchumba, maana wanaume wengi wanapenda kuoa mke wa pili, ukimuuliza sababu atakwambia, "yule mwanamke ana kazi yake, na anayamudu maisha yake..." kwa hiyo anaoa ili mradi tu aepuke zinaa na si suala zima la UMUME. Ni hapo mwanamke nae atakapogundua kuwa anatumiwa atakapoota mbawa. Hivyo utimize majukumu yako kama mume, kama ambavyo umeyafanya kwa mke mkubwa. Umtunze na kumjali mke mdogo na kumpa heshima yake, na ikizingatiwa kuwa bi mkubwa katoa ruksa, ni wewe tu kuwaweka sawa.

Umesema utakaa kwa mke mdogo mfululizo miezi 3????????????????????????????? why???????????????????? huoni kwamba ukimaliza hiyo miezi 3 hamu yote ya kuoa mke wa pili itakuwa imeisha? Nakushauri ukae siku saba tu, then upange zamu kwa kadri mtakavyokubaliana
Ahsante kwa ushauri mkuu!
 
Hivi kumbe bado kuna watu ktk hii generation wanaona dili kuoa wake wengi......kazi ipo!
 
Ni mtazamo wako tuu.
Sasa kama una uwezo wa kufanya hivyo na tayari umempata wa kumuoa why not?kwanini basi uamue kujiibia mwenyewe wakati unao uwezo wa kummiliki ndani na ukampata kwa muda una muitaji?
 
beba mzigo ila ujue madhara ya wake wengi ni noma hasa kwa saikolojia ya familia na ya watoto...
 
Back
Top Bottom