My wife has spoiled my day!!

shame on you,kwa kumpiga mke wako.kwani suluhisho mpaka umpige?na inavyoonyesha,sio mara ya kwanza kumpiga.maana usingeelezea humu.mke hapigwi.inatakiwa na wewe upate mtu akufunze jinsi ya kuishi na mke wako.club, club.nenda na mke wako huko club,mu enjoy wote
 
Nyie ndio mnaofanya wake zenu wawakumbuke ma-ex wao, this morning kuna ex-wangu kaniita analia sana na story yake ni kama yako sasa cjui ndio mkeo au ni coincidence.
Nilifanikiwa kumliwaza akatulia na alimalizia maongezi namna hii "natamani mpenzi wangu ungelikuwa karibu leo ningekuletea uitumie vile unavyotaka mpaka uchoke mwenyewe"
Mate yalinitoka ila nikamwaidi nikiwa mjini nitamjulisha, kazi kwako baba.
 
Hivi sababu za kupiga mke ni rahisi namna hii!!! Basi kumbe mi sitapataga sababu ya kupiga mke... Maana mi vitu kama hivyo akiniambia huwa naishia kucheeka, hadi na yeye mwishoni anacheka...
 
ama kweli siku za mwisho watu watakuwa wakujipenda wenyewe....hapo kweli wewe ndio umeharibiwa siku? mwenzio kalala na mangumi then kaamkia church halafu eti she spoiled your day! shame on you!!
 
kweli wee ni balaa kwa huyo mwanamama,eti kipondo kakiandika kwa herufi kubwa sijui kuonesha jinsi yuko proud.
Unampiga ni binti yako huyo???
kwa hiyo ulivyompiga ndo akaelewa au??
 
Duh! kumbe watu kama nyie bado mpo eeeh msio jua kumuelewesha mtu kwa mapenzi? huoni hata haya unaelezea kama vile jambo la kawaida loh halafu jioni unamwambia unampenda akuvulie nguo! Shame on you. wewe ndio wale kwenye group ya magumegume.ebu badilika mwanamme kweli hampigii mkewe anamuelewesha na anaelewa sio kumpiga,uli toa mahari uka muoa huku mnunua....
 
Hi guys naomba labda tukumbushane jamani kitu hichi ambacho watu wengi tumekuwa nakasumba asa wanaume wengi
Yaani unashindwa kupata time hata ya kupumzika home na mkeo zen unaenda kuchili na marafiki me i gues rafiki wako wa kwanza ni wife wako.
Halafu unarudi usiku unampa kipondo so kisa we mwanume au dat not fair ok she was right halafu kwa ujasiri kabisa unapost post kutueleza huo ujinga wako. so ulitaka ye afikiliaje coz hata maandiko yanaasema ussiende njia ya mwanamke mzizi maana maneno yake ni matamu kama asali na ni laini kama mafuta.Remember time to ur famil it more important more than u think so kuwa mwangalifu ok .
 
MJINGA ww usije tena kutuandikia massage zako za u ubabe huimu kama umekosa post ni bora usome za wenzako
Jamani samahani sana kama nimetumia lugha chafu maaana jamaa kaharibu kabisa siku yangu nachukia sana vitu kama hivi halafu mtu anajisifu kabisa,
 

...Na wewe unaona sifa kufanya ulichofanya hadi kuja kujitangaza hapa jamvini!!!? :sad:ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!!!!!
 

ningekuwa mimi wewe ningekuja na uzi nimwombeje msamaha mke wangu/? au mke wangu nisamehe sana' kusudi kama wana jamvi wakichangia basi iwe wamekusaidia kufikisha ujumbe mzito zaid tena wa kuondoa kosa mara moja. na siyo huu wa kuonyesha kosa tena lililojaa jeuri ya kibaba na ubabe.
 
Daaaah kweli umenipaka,sirudii tena asante sana
Kuna wanaume wengine wanaoharibu sifa ya kuwa waume, moja wapo ni wewe. oa wako piga ua halafu tukukute Segerea ukinyea debe. Unaharibu sifa za ukoo wa Lasway
 


...Imetulia sana hii BiMkubwa, nimefurahi kukuona maana umeadimika mno siku za karibuni. Jioni njema.
 
Hapo kwenye red kumbe we bado wa mwaka 47?pole
 
mmh! Nahs umesahau ya kanumba na lulu wewe
 
Natamani ningemjuwa huyo wife wako uliyempa kipondo. Baada ya hicho kipondo ningechukuwa kiulaiiiiiiniii kama kusukuma mlevi.
 
kwanini ulimdrop home si mngeenda wote club? hiyo hata ingekua ni mimi ningeshtukia... wewe mkeo angeshusha hm akakuambia anaenda club ungesemaje si ungempa kipondo kabla hajaenda club?
 


Hapo kwenye bold ndo patamu haswa!! na ninaomba wanaume wapazingatie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…