My wife has spoiled my day!!

Hivi bado kuna wanandoa wanashushiana mangumi!? Nadhan Bi Helen Kijobisimba na wenzake huko tgnp hawajafanya kazi ya kutosha!
Huyu naye huwa anashushiwa kibano, hana lolote! Hivi umesahau Mzee wa Kimakonde alivyobamizwa na 1st Lady wetu? Sasa sembuse Bi. Hellen?
 
Ivi ulimwengu huu bado tu kuna wanandoa wanaodundana mangumi tu?
nini mangumi, watu wanapelekana hadi police, wanapigana na mafagio.........acha tu ndoa hizi ni pasua vichwa.
 
naamini mtoa mada UMEPATA SOMO apa kwa maelezo yote haya....darasa tosha sana nimependa comments za wadau!!1 siku ingine uje na la maana sio kumpiga mkeo,na wanaume wote wapiga wake zao/wachumba hili ni fundisho kwenu na mjue siku litawarudi. ni kweli nyie ndo mnafanya wanawake wasiamini wanaume tena,na wawe watu wa kujihami yani natamani nikuchape makofi labda ungejua kadhia ya kupiga mkubwa mwezio!!
 
Me cjaoa bt i understand how disturbin it is when u are trying to be honest to th person you love n she dont seem to understand u,!
 
Mwanamke sio wa kupigwa mkuu,wewe ungeona anazidi kuongea ungeondoka mpaka awe normal,anakupenda sana ndio maana anakuwa hivyo na wivu mwingi,usimpige next time haipendezi kabisa kumpiga mwanamke.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
[Join Date : 13th August 2009
Location : Bongo
Posts : 2,482
Rep Power : 2562
Likes Received515
Likes Given1QUOTE=cartura;3856173]mkuu achana kabisa na physical confrontations... unaweza ukamsababishia mtu brain concussion hapo yakawa mambo mengine[/QUOTE]
cartura hivi huoni aibu tangu uingie JF 2009 umepewa likes 515 lakini wewe eti ume-like post 1 tu hadi sasa? noma mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa pole sana. Kama ameharibu siku yako the best way to deal with it Umeona ni kumpiga? How many times she has made ur day? Binafsi siamini kipondo ni best way ya kumfundisha mke wako. Talk to her,Kama haelewi go and talk to her baadae

pia Kama inafikia hatua hiyo ya kutokukuamni kiasi hicho Lazima kuna matukio yanasabisha hiyo so karibu kufanya akuamini kwa kupunguza hayo matukio
 
kipigo kinafaa ili asirudie maana vivu mwingine hauna mbele wa nyuma
 
cartura hivi huoni aibu tangu uingie JF 2009 umepewa likes 515 lakini wewe eti ume-like post 1 tu hadi sasa? noma mkuu

teh teh teh, mkuu Mwana Mpotevu mbona unaibua details ambazo katika hali ya kawaida huwa hazionekani sana... anyway, ni uvivu tu ndugu yangu but kuna posts nyingi za wachangiaji mbalimbali ambazo zinanigusa na zinastahili kupewa 'like'.... ooops ngoja nikugongee basi 'like' yangu ya pili kwa kunishtua and hopefully zitaendelea ku-flow...
 
Last edited by a moderator:
kaka pole kwa'kuharibiwa siku na mkeo'...kiukweli sijapenda kabisa suala la wewe kimpiga mkeo kisa amekuuliza kuhusu ulikokuwa, its not fair kaka...na mwanaume anayempenda mkewe kwa dhati hawezi hata siku moja kumpiga mkewe tena kwa kisa kidigo kama hicho..uwe unafikiri kwanza kabla ya kuamua maana unaweza kumpoteza mkeo kwa kukuchoka, kuwa na moyo wa subira na kufikiri kila wakati kuwa NAWE PIA UNA JUKUMU LA KUTUNZA NA KUILINDA NDOA YAKO, NA AMANI HAIJI KWA NJIA YA KUMPIGA MKEO....usitake mwenzako awe analia kwa ajili yako kumbuka uliyokuwa unayafanya huko ni MUNGU WAKO ndio alikuwa anakuona, na utacheki naye siku ya mwisho. KUWA NA HURUMA KWA MKEO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…