kaka pole kwa'kuharibiwa siku na mkeo'...kiukweli sijapenda kabisa suala la wewe kimpiga mkeo kisa amekuuliza kuhusu ulikokuwa, its not fair kaka...na mwanaume anayempenda mkewe kwa dhati hawezi hata siku moja kumpiga mkewe tena kwa kisa kidigo kama hicho..uwe unafikiri kwanza kabla ya kuamua maana unaweza kumpoteza mkeo kwa kukuchoka, kuwa na moyo wa subira na kufikiri kila wakati kuwa NAWE PIA UNA JUKUMU LA KUTUNZA NA KUILINDA NDOA YAKO, NA AMANI HAIJI KWA NJIA YA KUMPIGA MKEO....usitake mwenzako awe analia kwa ajili yako kumbuka uliyokuwa unayafanya huko ni MUNGU WAKO ndio alikuwa anakuona, na utacheki naye siku ya mwisho. KUWA NA HURUMA KWA MKEO!