Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Aug 26, 2010 Thread starter #41 mpangwa1 said: Mkuu nipo ila busy na mchakato wa kumpeleka Dr. Ikulu, mama ndubwi mzima ila anakutajataja kila siku..... Click to expand... Mkuu, mm nguvu kazi nimezielekezea kusini, huku ndy kugumu zaidi-watu wana macho lakini hawaoni, Dr lazima aingie ikulu. Msalimie sana mama ndubwi na watoto.....waambie nawapenda sana.
mpangwa1 said: Mkuu nipo ila busy na mchakato wa kumpeleka Dr. Ikulu, mama ndubwi mzima ila anakutajataja kila siku..... Click to expand... Mkuu, mm nguvu kazi nimezielekezea kusini, huku ndy kugumu zaidi-watu wana macho lakini hawaoni, Dr lazima aingie ikulu. Msalimie sana mama ndubwi na watoto.....waambie nawapenda sana.
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Aug 26, 2010 Thread starter #42 BelindaJacob said: Keep it up the same spirit!..namuonea raha!!!! Click to expand... Asante BelindaJackob, usihofu-hata babaa najua anakupenda sana, ndy maana una furaha siku zote ukiwa humu ndani.
BelindaJacob said: Keep it up the same spirit!..namuonea raha!!!! Click to expand... Asante BelindaJackob, usihofu-hata babaa najua anakupenda sana, ndy maana una furaha siku zote ukiwa humu ndani.
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Aug 26, 2010 #43 Aaarghhh....:angry: Mi wangu nimempigia naambiwa 'namba unayopiga kwa sasa haipatikani'...
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Aug 26, 2010 Thread starter #44 Tuko said: Aaarghhh....:angry: Mi wangu nimempigia naambiwa 'namba unayopiga kwa sasa haipatikani'... Click to expand... usikasirike mkuu, huwezi kujua....!
Tuko said: Aaarghhh....:angry: Mi wangu nimempigia naambiwa 'namba unayopiga kwa sasa haipatikani'... Click to expand... usikasirike mkuu, huwezi kujua....!