My Wife Jamani

My Wife Jamani

Mkuu nipo ila busy na mchakato wa kumpeleka Dr. Ikulu, mama ndubwi mzima ila anakutajataja kila siku.....

Mkuu, mm nguvu kazi nimezielekezea kusini, huku ndy kugumu zaidi-watu wana macho lakini hawaoni, Dr lazima aingie ikulu. Msalimie sana mama ndubwi na watoto.....waambie nawapenda sana.
 
Aaarghhh....:angry: Mi wangu nimempigia naambiwa 'namba unayopiga kwa sasa haipatikani'...
 
Back
Top Bottom