My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

Upupu huo na unatafuta wa kumuwasha ila sasa kwa bahati mbaya wewe ni washawasha sasa huo upupu ushindwe na ulegee! achana nae huyo huwezi jua yule rafiki yako ana plans gani na wote wanaomuibia mkewe, siku zote ogopa sana watu wa hivyo maana kama anajua watu wanamuibia sasa anafanya machunguzi yake na ukijiingiza tu umeliwa!
 


Red....acha kabisa na tubu.
Hii nayo hatari sana.
 
Mimi cha kukushauri tu ni kwamba huyo jamaa alikufundisha kuiba na wewe ukafuata, hilo kwanza ni tatizo kubwa sana.
Kwa nini watz tuko vidokozi kiasi hicho? ndio maana makamouni yetu siku zote hayadumu yanaishia kufa mikononi mwetu tu
Tunaona makampuni mengi yanapochukua wakenya na foerigner wengine sisi ndio wakwanza tena kulaumu
wito wangu: TUACHE WIZI NA UDOKOZI MAKAZINI.

Back to the topic:
Rafiki yapo alipokuwa anakueleza matatizo yake kuhusu huyo mwanamke maana yake alikuwa anafurahishwa au alikuwa anachukizwa??
wewe si umesema amemtishia huyo jamaa mwingine kumuua?? na wewe sio kwamba atakumalizia kabisa?
wewe si umesema wanaotembea na mke wake karibu wote anawajua? je wewe hatakujua?

Tafakari:Heshima ya mtu ni utu wake na huyo mke wake ndio utu wake, wewe kitendo cha kutenmdea naye ni sawa na kumvua nguo rafiki yako.
 
K**a bwana haiilimwi shambani condomize chakachua kama kawa, maana ukimwacha atakudharau siku ya siku atamwambia jamaa yake kuwa ulishamwomba na akakupiga kibuti. Hivyo kula hata mara moja uachane naye.
acha kushauri upupu.
nani alikudanganya mapenzi huwa ni ya siku moja tu?
 
ushauri mweingine bana ..ooh kazi kweli kweli
 
chukua line ya simu mpya mtumie msela wake sms umchane ila usijitambulishe mpe ukweli na umwambie afuatilie na ushauri kuwa amuache make sure asijue kama ni wewe ili msije kukosana pale watakapo elewana cz mapenzi co kitu cha mchezo na wewe usitembee naye ni dhambi kutoka na mke wa mtu ukimgonga na wewe watakugongea je siku ukijua utalia au utacheka? Ndyo ushauri
 
usicheke na kima,atamaliza mahindi shambani.
Mke wa mtu ni sumu
 
kama vp na ww mchakachue. Ila sasa kumbuka kuna ck nawe waja kuchakachuliwa demu wako. Think critical then argue with reasoning.
 
mpotezee huyo mwanamke,usiwe cheap kihivyo.....heshimu uhusiano wako na rafiki yako,ilinde roho yako na mateso ya baada ya wewe kufanya hivyo kama hofu na woga na zaidi utumwa.....ukimwi bado upo......Mungu akusaidie najua mwanamke akidhamiria ni mtihani.....be strong!:hand:
 
Dah! Huyo mumewe cio kama *****! Ila akirudi wanajadili mwenzangu umepata wangapi! Hapo kazini wamepanga wakuuweni wote nyinyi!
 

Unakumbuka kuna kitu inaitwa HIV mbona hili wengi huwa tunalisahau. Jaribu kukumbuka kila wakati na shetani atashindwa kwa nguvu zote. Mwisho wa yote ni kuchimbiana makaburi tu hakuna lingine.
 

Kweli hii itakuwa fadhila bab kubwa
 
acha wizi kijana
 
ahhh wanawake wengine ooooovyo,anapata raha gani jamani,zaidi ya kujishushia heshima.huyo mwanamke baadae atajuta
Huyu nafikiri anapata raha zaidi kuliko karaha ndio maana anapenda hii ki2
 
Unakumbuka kuna kitu inaitwa HIV mbona hili wengi huwa tunalisahau. Jaribu kukumbuka kila wakati na shetani atashindwa kwa nguvu zote. Mwisho wa yote ni kuchimbiana makaburi tu hakuna lingine.
Nitafanya hivyo nitakuwa nakumbuka kadri niwezavyo
 
Dah! Huyo mumewe cio kama *****! Ila akirudi wanajadili mwenzangu umepata wangapi! Hapo kazini wamepanga wakuuweni wote nyinyi!
Hahahahaha hafi mtu hapa,wote 2ko macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…