My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

Hiyo heading ya thread imeniacha njia panda hasa hapo kwenye red. My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue
 
huyo jamaa alikufundisha kuiba hana maana, kama vipi muibie na mke Pia. maana ninyi wote hapo ofisini kwenu yaelekea mnaendekeza sana ufirauni.. Kupumbuana tu!
 
waulize rafiki zako waliomchakachua kama walishaenda ku-test HIV. Unaweza kufikiri ni namna gani ofisi yenu itapukutika iwapo huyo demu ameathirika? Acheni mambo ya uzizinzi. Isitoshe hao jamaa ni wachache tu ambao wewe unawafahamu. Kwa vyovyote kutakuwa na masela kibao tu mtaani ambao wanammega!!!
 
mchunguze rafiki yk vizuri usikute kawekewa limbwata, haiwezekani mwanamke wk end akajirushe, jamatatu apitie kazini huko huko, then eti jamaa bado anampenda tu!!
 
usijaribu mjomba.no matter what.kugonga dem hasa wa mtu wako wa karibu ni kitendo kibaya sana
 
Kwanza nikupe hongera kwa kujitahidi kumkwepa huyo mwanamama muhuni, pili nikushauri, kaa mbali naye na uwe very very serious akikushika mwambie tabia hiyo huipendi kabisa hata akikukalia uchi we usimjali halafu mdharau live na onyesha haeshima yako ukiwa mbele yake. Na huyo ameshaukwaa sasa anataka kuondoka na wengi pengine ndio maana mume wake hamfuatilii japo anajua anayoyafanya kwa sababu katika hali ya kawaida mwanaume ni lazima awe na wivu kwa mke wake hata mwanamke kwa mumewe. Mkimbie kwa nguvu zote baadae atajua msimamo wako ataachana na wewe
 
mchunguze rafiki yk vizuri usikute kawekewa limbwata, haiwezekani mwanamke wk end akajirushe, jamatatu apitie kazini huko huko, then eti jamaa bado anampenda tu!!

Ndoa, ndoana Susy!!!!!!
 

Sioni kwa nini unataka kumwangusha jamaa, kwani kama alikufundisha kuiba. onyesha kuwa ulimwelewa kwa kumtumia mkewe...
 
Huyo mama inawezekana ameshukwaa na anataka kuondoka na wengi. mkalie mbali siku zake zinahesabika. Viwembe wa aina hiyo tunao wengi na swala la muda utaona dalili zote za ngoma
 
katika story yako yooote mi imeniuma kwenye kufundishwa kuiba kiwandani tu......ole wako nijue unafanya kazi TANESCO maumivu yangu ya mgao wa umeme nitakumalizia wewe.
 

Demu wa mshikaji wako,, hana heshima we muheshimu jamaa yako then usimgonge huyo demu,,,, wa kazi gani mdau,,, unajua makazini uswahilini kuna mademu wanagongwa kushinda wauza K hapa mjini,,, km from monday to sunday anakula dudu,,,hafai huyo brooo hat km anafaaa ni wa mshikaji wako.
Hapo ulipo ni support ya mshikaji why dont you appreciate,,,,, tatizo vijan mnatak mtelemko,,,,unataka uweke history mbona mimi nishgonga huyu demu,,,utakuwa kwenye list ya walioukwaa nawewe!!!!
 
RED:Kwa hiyo unastahi shemeji kwa sababu ya dhambi hii au nafsi inakusuta...?:A S 13:
 
:rain::rain::rain::rain:
 
kaka, muogope huyo demu kama ana ukoma!!!!
kwani demu au mke wa mshikaji ni noma saaana!
pia kwakuwa ana dinywa na watu kibao huenda tayari ana "tanesco"mwilini.
achana nae !! ikibidi mchane kabisa kuwa akizidi utamwambia mmewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…