Mie nakupa mtazamo wa kidini, kwa mujibu wa dini ya Islam.
1. Ukitembea na mke wa mtu, kama wewe ni Muislam, na mwanamke huyo awe ameolewa, awe Muislam au asiye Muislam, HUTAUONA MLANGO WA PEPO.
2. Kama ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mtafute mumewe, omba radhi kwamba ulipitiwa na shetani. Ukitaka kujisafisha na dhambi hiyo, jitambulishe kwa mumewe, mweleze yote, kisha mwombe akusamehe au akupe adhabu yoyote ile aitakayo, asuuzike, ili akusamehe. La sivyo, mwanawane, pepo huioni. So, iwapo utaamua kutembea na huyo mke wa mtu, elewa kwamba raha za duniani zitaishia duniani. Pepo hutaiona.
MJUMBE HAUWAWI.