chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
- Thread starter
- #21
Hutaki ujinga na wewe ni mjinga?
usinishobokee mwanamke,sijaandika thread ya kutaka mchumba hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki ujinga na wewe ni mjinga?
Watu wasio na hoja ndio zenu. Nikushobokee kwa kuwa kilaza? Nikikuita mjinga jua fika hata kwenye list ya maadui zangu huwezi ingia.usinishobokee mwanamke,sijaandika thread ya kutaka mchumba hapa
Kama unataka watu wasome bila ku-comment peleka gazetini kwenye barua za wasomaji> teh teh tehe
Watu wasio na hoja ndio zenu. Nikushobokee kwa kuwa kilaza? Nikikuita mjinga jua fika hata kwenye list ya maadui zangu huwezi ingia.
Hasira za mumeo huko huko,haya kasome,we genius?hapy now?.tchao!
Still making a fool out of yourself ehhh?
Mara boyfriend, mara mume. . . unamtaka nini?
Usiogope kusema.
Staki kitu chochote kutoka kwako mie,kwanza hata sikujui.Am out with my GF now.
Moyo wako ndio uhamue nini cha kufanya kwani wenyewe ndio unajua ni kwa kiasi gani unayakumbuka yale mema aliyokufanyia. pia moyo huo huo ndio unajua ni kwanini mliachana.KAMA SABABU ZA KUACHANA MOYO UMESHAZIFANYIA KAZI NA KUZIONDOA BASI huu ndio wakati wa moyo huohuo kuhamua kurudi au la
Mmh,yan hata sikuelewi.duuh,some gals make fool of themselves here!!Siwezi kukupa wangu. .ila nakushauri utafute ili kisikuume sana mimi kuwa na wangu.
Mmh,yan hata sikuelewi.duuh,some gals make fool of themselves here!!
"Huwezi kujua uzuri wa kitu mpaka ukikose"....
suala ya kumrudia X wako linategemea km dawa ya kile kilichowatenganisha imepatikana. Unamshangaa huyo X wako kwa kuwa tulio wengi tuna kasumba eti ukimwagana hata kupeana salamu hamuwezi, achilia mbali kuongea.
alaaaa.......kumbeeeee........
mnatakaga muone tunalia tukiwaona......tujigaregare chini......
au mnategemea mtuone tumechakaa kama tambara la deki.....
We nawe acha kusumbua watu.
Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.
UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.
Kibongobongo hua tunapenda siku ukionana na X wako awe taabani, kapigika, maisha yamemnyoosha kapauka kama mhogo. Sasa unapokutana nae yuko safi na tabasamu tele roho huuma, na mbaya zaidi unakuta kapata partner bora zaidi dah hapo ndo huuma zaidi.
Kwa mleta thread, ushauri wangu huyo dada muache aendelee na maisha yake kwa mpenzi wake mpya. Wee ulichezea nafasi ijutie basi.
We nawe acha kusumbua watu.
Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.
UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.