Myahudi anachapika huko Lebanon! Askari wanazidi kufa huko! Alikurupuka?

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo!

Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi wanaripoti jua hali ni mbaya sana!

Seven more Israeli soldiers killed in Lebanon, says military

Seven
more Israeli soldiers have been killed in combat in south Lebanon, Israel's military has said, taking the total to eight.They are among the first Israeli combat deaths to be reported from the region.

Eight Israeli soldiers killed in fighting with Hezbollah inside Lebanon, says IDF​

2006 israel alikimbia huko, alitandikwa hadi akaomba poo, kwa sasa iran na anaowaunga mkono wamejipanga kwa full scale war , yemen anapiga , hezbollah anapiga, iran mwenyewe anapiga , sijui itakuaje naona uvumilivu dhidi ya israel umewashinda kwa sasa liwalo na liwe
 
Hizbollah sio Hamas, walizoea kuwaonea Hamas wasio hata na silaha za maana sasa wamekutana na vidume ngoja wanyooshwe.

Sasa hivi casualties wamehamia Tel Aviv huko wametangaza emergency
 
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo...
Taarifa za saa saba mchana ilikua 14,japo inasemekana ni zaidi ya hapo, maana idf imetangaza raia kutoa damu group o
 
2006 israel alikimbia huko, alitandikwa hadi akaomba poo, kwa sasa iran na anaowaunga mkono wamejipanga kwa full scale war , yemen anapiga , hezbollah anapiga, iran mwenyewe anapiga , sijui itakuaje naona uvumilivu dhidi ya israel umewashinda kwa sasa liwalo na liwe
Mkuu a ndaani..Uturuki nao Wana pasha misuli..
 
Wachangiaji naona wengi wenu ni wakaaji wa mashariki ya kati.
 
Suluhisho hapo warushe mabomu mengi ardhini
Suluhisho ni kutoka gaza hakuna atakae mfuata. Walimuua Haniye ambae alikua na nia njema kabisa ya kumaliza mzozo lakini Sin war Yahya sio mtu mzuri kabisa
 
Suluhisho hapo warushe mabomu mengi ardhini
Suluhisho ni kutoka gaza hakuna atakae mfuata. Walimuua Haniye ambae alikua na nia njema kabisa ya kumaliza mzozo lakini Sin war Yahya sio mtu mzuri
 
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo!

Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi wanaripoti jua hali ni mbaya sana!

Seven more Israeli soldiers killed in Lebanon, says military

Seven
more Israeli soldiers have been killed in combat in south Lebanon, Israel's military has said, taking the total to eight.They are among the first Israeli combat deaths to be reported from the region.

Hizzbollah wanajua formation zote za mapigano za IDF ndo maana wanawabana nusu uwanja wakisogeza wanavunja shingo.
 
Suluhisho ni kutoka gaza hakuna atakae mfuata. Walimuua Haniye ambae alikua na nia njema kabisa ya kumaliza mzozo lakini Sin war Yahya sio mtu mzuri
Kumaliza mzozo Kwa kuua Hadi watz , hv waafrika Lin mtaanza pendana? Mnaitwa nyan sababu ya akil km hz
 
Niliwaambia amejiingiza kwenye mdomo wa mamba😁

1000012765.jpg
 
Back
Top Bottom