Mystery Of God Creation

Illakwahhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
465
Reaction score
743
Hallo Jf,
Katika mambo yanayoumiza vichwa hapa duniani ni kuwa Binadamu na ulimwengu mwanzo wetu ni upi hasa??
Wanasayansi Na vitabu vya dini vinatupa majibu yanayoongeza zaidi maswali kuliko kuyajibu,maswali ni mengi sana hebu kanyaga gia twende kazi....

Mwanasayansi maarufu duniani professor Stephen Hawking anasema..
"Watu wakiuliza kuwa je Mungu aliumba ulimwengu??Mimi nitawajibu kuwa Hilo swali lenyewe halina mantiki kwani time(wakati)haukuwepo kabla ya big bang(mlipuko mkubwa unaokisiwa kuumba ulimwengu),kwahy haukuwepo Time/wakati ambao ambao ungemwezesha mungu kuumba ulimwengu,kwan wakati/time haukwepo kabla

Time??What's time!
Time/muda/wakati,
Kuna wakati ambao ulizaliwa
Kuna wakati ambao uliingia shule
Kuna wakati kwa mara ya kwanza uliingia JF

Mungu aliumba wakati/Time
Je Kama aliumba Wakati vipi kuhusu uwepo wake??Je kuna wakt ambao mungu hakuwepo ?

''1 Hebu tuangalie biblia kitabu cha mwanzo
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.''

Biblia inaeleza kuwa kabla ya Mungu kuanzia uumbaji ule wa siku sita roho yake ilikuwa juu ya maji,sote twakubaliana kuwa Mungu ni roho,Na je kabla ya uumbaji Kama roho ya Mungu ilikuwa juu ya maji Na Giza lilitandaaa...
Je....
Nani aliumba giza,utupu Na maji Kama yalikuwepo kabla ya uumbaji??

Tunaona Mungu aliona ukiwa Na Giza ndipo akaona uumbaji kuwa jambo zuri machoni pake je hyo Giza aliyokuta kabla ilitoka wapi?? Nan aliumba hasa???

Majaribio Na chunguzi nyingi za kisayansi yanatueleza Na kutuaminisha kuwa ulimwengu ulikuwa Na mwanzo

Kila kitu katika ulimwengu kina point of origin
Mimea unakua....
Wanyama wanazaliwa....
Na pia binadamu Wanazaliwa...

Kuna kipindi katika historia binadamu hakuwepo then suddenly akatokea

You were nothing then something
You were nobody then somebody

Kila kitu tunachokiona Na kukifeel hakikuwapo kabla,

Kimahesabu unaweza kusema ni =0

Kwa wale wanafizikia kuna kitu kinaitwa First law of Thermodynamics ambayo unasema''Matter and energy can neither created nor destroyed"

Yaani
"Maada Na nishati haiwezi kuumbwa Wala kuharibiwa "
Je Kama ni kweli je Maada(matter) and energy(nishati) zimetoka wapi kama haiwezi kuumbwa Wala kuharibiwa??

Wasioamini uwepo wa Mungu watasema Hawajui
Wanaoamini uwepo wa Mungu watasema Mungu!

Kuna Nadharia kadhaa zinazoelezea mwanzo wa ulimwengu

Kwanza..
Big bang theory
Hebu tufanye kama big bang ndio Nadharia ya kweli kuhusu mwanzo wa ulimwengu
Big bang theory inaeleza kuwa ulimwengu ulitokana na "Rapid expansion of matter from the state of extremely high density and temperature"

Tafsiri yake Ni kwamba ulimwengu ulianza kwa"Mtanuko mkubwa sana wa maada kutoka katika hali ya joto Kali Na msongamano mkubwa wa maada" Mtanuko huo wa maada ndyo ulioumba ulimwengu na kila kilichopo
Nadharia hii inakubaliwa Na wanasayansi karibu wote duniani

Sasa hiyo ni Nadharia ya kisayansi sasa watu dini watakuliza maswali yafuatayo
1.where did that matter come from?
Je hiyo maada iliyolipuka Na kuunda ulimwengu ilitoka wapi?!!
2,What existed before big bang??
Nini kilikuwapo kabla ya huo mlipuko uliofanya ulimwengu?
3.who set that explosive theory into motion
?
Nini kiliongoza Na kufanya mlipuko utokee
4.What was the spark that lead to it?
Je cheche za huo mlipuko ulitokana na nini hasa?

Hahahaha patamu hapo...

Sasa Na wanasayansi pia watauliza wanaoamini kuwa ulimwengu uliumbwa kuwa
1,Nani alimuumba Mungu?
2.Je kama Mungu ni Muweza wa yote anaweza umba kitu kikubwa chenye nguvu kuliko yeye?
3.Biblia inaeleza kuwa Giza lilikuwepo kabla ya uumbaji then Nani aliumba Giza?

Maswali hayo yote ni ya msingi Na Tumeshindwa kupata je ni ipi Nadharia ya ukweli ya kuwepo kwa ulimwengu??


Sote tunajua kuwa "Matter and Energy can not create itself"
Yaani
"Maada Nishati haiwezi kujitengeneza/umba yenyewe"
Then
Kwa lugha ya kimahesabu wacha mungu watasema kuwa,during the eternity of nothingness
0+0 will eventually be at some point=1

Where,
0=nothing/utupu
0=Mwanzo/biggining
1=Uumbaji/creation
Kitu ambacho ni uongo kimahesabu,kamwe huwez kupata kitu katika utupu,
You can't get something from nothing

Ingawa mwanzo wa ulimwengu kimahesabu unatakiwa uwe

1+0=1

1=creator/Muumbaji
0=biggining/mwanzo
1=Creation/Uumbaji

Ingawa hii haiwezi jibu kwa usahihi juu ya mwanzo wa ulimwengu kwamba ni Mungu aliumba kwani litazuka swali lingine la nani kamuumba Mungu,Kama mungu aliumbwa inamaana Na yeye pia aliyemuumba aliumbwa na huyo pia aliumbwa!!unajikuta unapata cheni kubwa ya waumbaji wengi wasiokwisha ,eti huyu kaumba huyu Na huyu kaumba huyu na huyu kaumba huyu.......................cheni ndefuuu kweli !

Cheni hyo ndefu ya uumbaji utakuja kukata kwa kuweka wazi kuwa Mungu ni wa milele Na milele,hahitaji Muumbaji kwani yeye Ndiye Alfa Na Omega

Asanteni

Paul Illakwahhi
JF member
 
Hii mada tata na tamu kweli kweli. Ila niwezacho kusema mimi ni kwamba pale Biblia inapoanzia SIO ULINWENGU UNAPOANZIA. Hivyo hatuwezi kutumia Mwanzo 1:1 kwa nadharia kwamba ndio Mwanzo wa Ulimwengu. Ulimwengu ulikuwepo kabla ya Mwanzo 1:1 ila ulidhihirishwa na kuanza kuongelewa hapo.

Twaweza sema kabla ya Mwanzo 1:1, kuna HABARI NYINGINE tunapaswa kuzijua ila ndio hivyo hatuna, labda kina Mshana Jnr na wenzake wanaweza kutusaidia.
 
Nafikiri kuna ukweli kiasi Fulani,kwan kabla ya uumbaji huu wa biblia kulikuwa Na ukiwa,giza Na roho ya Mungu ilikuwa juu ya maji,uumbaji huo hauelezi kiza kilitoka wapi,hoja ya mwanzo kabixa wa uumbaji inapaswa kuangaziwa zaidi
 
Yeye ni
Alfa &omega
Mwanzo na mwisho
Hakuumbwa Bali aliumba
Alie kuwako aliepo na ataendelea kuwepo.
Akili zake hazi chunguziki daima..
Heshima na utukufu vina yeye milele
Tumsifu, tumwabudu
Anastahili
Amen
Swadakta
 
Ukuu wa MUNGU unawezaukaona hapa zaburi 65;5 ZABURI 95;5.ZABURI 148;4.msifuni enyi mbingu za mbinguni.ufunuo 12_ishara kuu ikaonekana mbinguni mwanamke aliyevikwa jua na nyota na mwezi ilikuwa chini ya miguu yake na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi nambili .ukaangalia hzo mistari utaona ukuu wa Mungu hvi tunavyoona hapa duniani ni vidogo kwake kuna mambo makubwa bado hatujaonyeshwa .mtume paulo alionyeshwa japo kidogo 2WAKORINTO12;2_4.nahitimisha kwa hili andiko 2cor5;7 kwa maana twaenda kwa imani na wala c pakuona.mwache MUNGU MWENYE ENZI AITWE MUNGU.
 
Binaadamu mnapata taabu sana kwa mnayoyaona duniani...haya tuyaonayo doesnot exist just kama emulation...(dream)
Kutokana na classic science matter and energy can not be destroyed...lakini leo tunaona black hole inaweza kudistroy energy na matter kuwa nothing.
Na tukizungumza zaidi kunakuta kuna matter na antmatter.
1+1=2 tujuavyo
1+1=1 yaani tone la maji jumlisha tone lengine unapata moja kubwa.
Hawking kaparalyse naskia kafa sjui kwa sababu ya kuwaza waza mambo ambayo hayana majibu.
Ila big up mkuu kwa uwezo wa kufunguka unayo yawaza. Safi sana
 
Hahahahaa haya
 
Siku zote Imani ndo ya muhimu zaidi.Wanasayansi wana Theory nyingi tu pia Dini nazo zina vitabu vingi tu

Linapokuja suala la kuamini origin of Creation we mwenyewe unafanya mambo kuwa Complicated kwasababu ya kuhoji maswali

Akija mwanasayansi akakwambia Kuna Theory inaelezea Creation
Utamhoji kwa maswali uliyojiuliza hapo juu

Akija tena Mwenye Biblia unaweza muuliza mungu aliumbwa na nani? Umeona ni full complications tu..

Unaweza mkawa mnabishna hata mwaka au miaka bila ya wewe Kuamini kwasababu kila upande unahoja zake tena zenye mashiko tu

Kwahiyo ni IMANI tu hakuna namna
 
Na ndiyo maana niliipenda, ninaipenda na nitaendelea kuipenda Mathematics. Kwenye Mathematics kuna kipengele kinaitwa infinity, na idea yake ni kuwa ukianza kuhesabu namba, hutafika mwisho. Na inaonyesha namna akili ya mwanadamu ilivyo na ukomo. Ukiweza kujua namba ya mwisho kwenye hesabu, ni mwanzo wa kujua yasiyojulikana kuhusu Mungu.
 
Before physical world there was spiritual world. Na kabla ya binadamu mwenye mwili wa kufa(physical body) kuna binadamu asiyekufa(spiritual body aka etheral body)
 
Theory ya Hawking is questionable until we get proof on what banged.....I had opportunity to attend a lecture of an African scientist investigating what banged...tunaweza kupata mawazo mengi mapya kuhusu huyo theory
 
hahahaaa eti hawking aliparalyse vipi!?
 
mengi ya maswali ya hapa duniani inatubidi tuu kusarenda na kukubali kufa hatuna ukweli wake.mfano hawa wanasayansi wanakazana na anga za juu wakati kuna vitu huku duniani wameshindwa kuvitolea maelezo.soo ukikaa na kuwaza ni kuwa mengi ya wanasayansi ni uongo.hasa inapokuja suala la uumbaji...
majibu ya sayans mengine yameshajibiwa kwa kupitia dini soo ni bora kukomaa kusoma elimu ya MUNGU kupitia mitume wake. . tukiwaamini wanasayansi sana watatupoteza
 
The Story of Zakariyah

And Yahya (John)

The years had taken their toll on the Prophet Zakariyah (pbuh). He was now old and bent with age, in his nineties. Despite his feebleness, he went to the temple daily to deliver his sermons.

Zakariyah was not a rich man, but he was always ready to help those in need. His one disappointment in life was that he had no children, for his wife was barren. This worried him, for he feared there was no one after him to carry out his work. The people needed a strong leader, for it they were left on their own, they would move away from Allah's teachings and change the Holy Laws to suit themselves.

During one of his visits to the temple, he went to check on Mary, who was living in a secluded room of the temple. He was surprised to find fresh out of season fruit in her room. Besides him, no one had entry to her room. When he inquired, she told him that the fruit was from Allah. She found it every morning. But why was he so surprised, she asked him. Did he not know that Allah provides without measure for whom He wills?

This noble girl had opened this eyes to a startling idea. Could he not ask his Lord to bless him with a child in his old age? Even if his wife was past childbearing age, nothing was impossible for his Gracious Lord!

Allah the Almighty revealed: 'Kaf, Ha, Ya, Ain, Sad, (These letters are one of the miracles of the Quran, and none but Allah Alone knows their meanings). This is a mention of the Mercy of your Lord to His slave Zakariyah. When he called out his Lord (Allah) - a call in secret, saying: "My Lord! Indeed my bones have grown feeble, and gray hair has spread on my head, and I have never been unblest in my invocation to You, O my Lord! And Verily! I fear my relatives after me, since my wife is barren. So give me from Yourself an heir, -who shall inherit me, and inherit also the posterity of Jacob (inheritance of the religious knowledge and Prophethood, not the wealth, etc.) And make him, my Lord, one with whom You are Well-pleased!"

Allah said: "O Zakariyah! Verily, We give you the glad tidings of a son. His name will be Yahya (John). We have given that name to none before him."

He said: "My Lord! How can I have a son, when my wife is barren, and I have reached the extreme old age."

He said: "So (it will be). Your Lord says, It is easy for Me. Certainly I have created you before, when you had been nothing."

Zakariyah said: "My Lord! Appoint for me a sign."

He said: "Your sign is that you shall not speak unto mankind for three nights, though having no bodily defect."

Then he came out to his people from Al Mihrab (a praying place or a private room, etc.), he told them by signs to glorify Allah's Praises in the morning and in the afternoon.

It was said to his son: "O John! Hold fast to the Scripture (The Torah)." And We gave him wisdom while yet a child, and made him sympathetic to men as a mercy or a grant from Us, and pure from sins (John) and he was righteous, and dutiful towards his parents, and he was neither an arrogant nor disobedient (to Allah or to his parents). And Salamun (peace) on him the day he was born, the day he dies, and the day he will be raised up to life again! (Ch 19:1-15 Quran)

Almighty Allah also said: At that time Zakariyah invoked his Lord, saying: "O my Lord! Grant me from You, a good offspring. You are indeed the All-Hearer of invocation."

Then the angels called him, while he was standing in prayer in Al- Mihrab ( a praying place or a private room), saying: "Allah gives you glad tidings of John confirming (believing in) the Word from Allah ("Be!" - and he was! (i.e. the creation of Isa (Jesus), son of Mariam (Mary), noble keeping away from sexual relations with women, a Prophet, from among the righteous."

He said: "O my Lord! How can I have a son when I am very old, and my wife is barren?"

Allah said: "Thus Allah does what He wills." He said: "O my Lord! Make a sign for me." Allah said: "Your sign is that you shall not speak to mankind for three days except with signals. And remember your Lord much (by praising Him again and again), and glorify Him in the afternoon and in the morning." (Ch 3:38-41 Quran).

John (pbuh) was born a stranger to the world of children who used to amuse themselves, as he was serious all the time. Most children took delight in torturing animals whereas, he was merciful to them. He fed the animals from his food until there was nothing left for him, and he just ate fruit or leaves of trees.

John loved reading since childhood. When he grew up, Allah the Exalted called upon him: "O John! Hold fast to the Scripture (The Torah)." And We gave him wisdom while yet a child. (Ch 19:12 Quran).

Allah guided him to read the Book of Jurisprudence closely; thus, he became the wisest and most knowledgeable man of that time. Therefore, Allah the Almighty endowed him with the faculties of passing judgments on people's affairs, interpreting the secrets of religion, guiding people to the right path, and warning them against the wrong one.

John reached maturity. His compassion for his parents, as well as for all people and all creatures, increased greatly. He called people to repent their sins.

There are quite a number of traditions told about John. Ibn Asaker related that one time his parents were looking for him and found him at the Jordan River. When they met him, they wept sorely, seeing his great devotion to Allah, Great and Majestic.

Ibn Wahb said that, according to Malik, grass was the food of John Ibn Zakariyah, and he wept sorely in fear of Allah. A chain of narrators reported that Idris Al Khawlawi said: "Shall I not tell you he who had the best food? It is John Ibn Zakariyah, who joined the beasts at dinner, fearing to mix with men."

Ibn Mubarak stated that Wahb Ibn Al-Ward narrated that Zakariayah did not see his son for three days. He found him weeping inside a grave which he had dug and in which he resided. "My son, I have been searching for you, and you are dwelling in this grave weeping!" "O father, did you not tell me that between Paradise and Hell is only a span, and it will not be crossed except by tears of weepers?" He said to him: "Weep then, my son." Then they wept together.

Other narrations say that John (pbuh) said: "The dwellers of Paradise are sleepless out of the sweetness of Allah's bounty; that is why the faithful must be sleepless because of Allah's love in their hearts. How far between the two luxuries, how far between them?"

They say John wept so much that tears marked his cheeks. He found comfort in the open and never cared about food. He ate leaves, herbs, and sometimes locusts. He slept anywhere in the mountains or in holes in the ground. He sometimes would find a lion or a bear as he entered a cave, but being deeply absorbed in praising Allah, he never heeded them. The beasts easily recognized John as the prophet who cared for all the creatures, so they would leave the cave, bowing their heads.

John sometimes fed those beasts, out of mercy, from his food and was satisfied with prayers as food for his soul. He would spend the night crying and praising Allah for His blessings.

When John called people to worship Allah, he made them cry out of love and submission, arresting their hearts with the truthfulness of his words.

A conflict took place between John and the authorities at that time. A tyrant king, Herod Antipas, the ruler of Palestine, was in love with Salome, his brother's daughter. He was planning to marry his beautiful niece. The marriage was encouraged by her mother and by some of the learned men of Zion, either out of fear or to gain favor with the ruler.

On hearing the ruler's plan, John pronounced that such a marriage would be incestuous. He would not approve it under any circumstance, as it was against the Law of the Torah.

John's pronouncement spread like wildfire. Salome was angry, for it was her ambition to rule the kingdom with her uncle. She plotted to achieve her aim. Dressing attractively, she sang and danced before her uncle. Her arousing Herod's lust. Embracing her, he offered to fulfill whatever she desired. At once she told hi: "I would love to have the head of John, because he has defiled your honor and mine throughout the land. If you grant me this wish, I shall be very happy and will offer myself to you." Bewitched by her charm, he submitted to her monstrous request. John was executed and his head was brought to Salome. The cruel woman gloated with delight. But the death of Allah's beloved prophet was avenged. Not only she, but all the children of Israel were severely punished by invading armies that destroyed their cities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…