Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 743
Hallo Jf,
Katika mambo yanayoumiza vichwa hapa duniani ni kuwa Binadamu na ulimwengu mwanzo wetu ni upi hasa??
Wanasayansi Na vitabu vya dini vinatupa majibu yanayoongeza zaidi maswali kuliko kuyajibu,maswali ni mengi sana hebu kanyaga gia twende kazi....
Mwanasayansi maarufu duniani professor Stephen Hawking anasema..
"Watu wakiuliza kuwa je Mungu aliumba ulimwengu??Mimi nitawajibu kuwa Hilo swali lenyewe halina mantiki kwani time(wakati)haukuwepo kabla ya big bang(mlipuko mkubwa unaokisiwa kuumba ulimwengu),kwahy haukuwepo Time/wakati ambao ambao ungemwezesha mungu kuumba ulimwengu,kwan wakati/time haukwepo kabla
Time??What's time!
Time/muda/wakati,
Kuna wakati ambao ulizaliwa
Kuna wakati ambao uliingia shule
Kuna wakati kwa mara ya kwanza uliingia JF
Mungu aliumba wakati/Time
Je Kama aliumba Wakati vipi kuhusu uwepo wake??Je kuna wakt ambao mungu hakuwepo ?
''1 Hebu tuangalie biblia kitabu cha mwanzo
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.''
Biblia inaeleza kuwa kabla ya Mungu kuanzia uumbaji ule wa siku sita roho yake ilikuwa juu ya maji,sote twakubaliana kuwa Mungu ni roho,Na je kabla ya uumbaji Kama roho ya Mungu ilikuwa juu ya maji Na Giza lilitandaaa...
Je....
Nani aliumba giza,utupu Na maji Kama yalikuwepo kabla ya uumbaji??
Tunaona Mungu aliona ukiwa Na Giza ndipo akaona uumbaji kuwa jambo zuri machoni pake je hyo Giza aliyokuta kabla ilitoka wapi?? Nan aliumba hasa???
Majaribio Na chunguzi nyingi za kisayansi yanatueleza Na kutuaminisha kuwa ulimwengu ulikuwa Na mwanzo
Kila kitu katika ulimwengu kina point of origin
Mimea unakua....
Wanyama wanazaliwa....
Na pia binadamu Wanazaliwa...
Kuna kipindi katika historia binadamu hakuwepo then suddenly akatokea
You were nothing then something
You were nobody then somebody
Kila kitu tunachokiona Na kukifeel hakikuwapo kabla,
Kimahesabu unaweza kusema ni =0
Kwa wale wanafizikia kuna kitu kinaitwa First law of Thermodynamics ambayo unasema''Matter and energy can neither created nor destroyed"
Yaani
"Maada Na nishati haiwezi kuumbwa Wala kuharibiwa "
Je Kama ni kweli je Maada(matter) and energy(nishati) zimetoka wapi kama haiwezi kuumbwa Wala kuharibiwa??
Wasioamini uwepo wa Mungu watasema Hawajui
Wanaoamini uwepo wa Mungu watasema Mungu!
Kuna Nadharia kadhaa zinazoelezea mwanzo wa ulimwengu
Kwanza..
Big bang theory
Hebu tufanye kama big bang ndio Nadharia ya kweli kuhusu mwanzo wa ulimwengu
Big bang theory inaeleza kuwa ulimwengu ulitokana na "Rapid expansion of matter from the state of extremely high density and temperature"
Tafsiri yake Ni kwamba ulimwengu ulianza kwa"Mtanuko mkubwa sana wa maada kutoka katika hali ya joto Kali Na msongamano mkubwa wa maada" Mtanuko huo wa maada ndyo ulioumba ulimwengu na kila kilichopo
Nadharia hii inakubaliwa Na wanasayansi karibu wote duniani
Sasa hiyo ni Nadharia ya kisayansi sasa watu dini watakuliza maswali yafuatayo
1.where did that matter come from?
Je hiyo maada iliyolipuka Na kuunda ulimwengu ilitoka wapi?!!
2,What existed before big bang??
Nini kilikuwapo kabla ya huo mlipuko uliofanya ulimwengu?
3.who set that explosive theory into motion
?
Nini kiliongoza Na kufanya mlipuko utokee
4.What was the spark that lead to it?
Je cheche za huo mlipuko ulitokana na nini hasa?
Hahahaha patamu hapo...
Sasa Na wanasayansi pia watauliza wanaoamini kuwa ulimwengu uliumbwa kuwa
1,Nani alimuumba Mungu?
2.Je kama Mungu ni Muweza wa yote anaweza umba kitu kikubwa chenye nguvu kuliko yeye?
3.Biblia inaeleza kuwa Giza lilikuwepo kabla ya uumbaji then Nani aliumba Giza?
Maswali hayo yote ni ya msingi Na Tumeshindwa kupata je ni ipi Nadharia ya ukweli ya kuwepo kwa ulimwengu??
Sote tunajua kuwa "Matter and Energy can not create itself"
Yaani
"Maada Nishati haiwezi kujitengeneza/umba yenyewe"
Then
Kwa lugha ya kimahesabu wacha mungu watasema kuwa,during the eternity of nothingness
0+0 will eventually be at some point=1
Where,
0=nothing/utupu
0=Mwanzo/biggining
1=Uumbaji/creation
Kitu ambacho ni uongo kimahesabu,kamwe huwez kupata kitu katika utupu,
You can't get something from nothing
Ingawa mwanzo wa ulimwengu kimahesabu unatakiwa uwe
1+0=1
1=creator/Muumbaji
0=biggining/mwanzo
1=Creation/Uumbaji
Ingawa hii haiwezi jibu kwa usahihi juu ya mwanzo wa ulimwengu kwamba ni Mungu aliumba kwani litazuka swali lingine la nani kamuumba Mungu,Kama mungu aliumbwa inamaana Na yeye pia aliyemuumba aliumbwa na huyo pia aliumbwa!!unajikuta unapata cheni kubwa ya waumbaji wengi wasiokwisha ,eti huyu kaumba huyu Na huyu kaumba huyu na huyu kaumba huyu.......................cheni ndefuuu kweli !
Cheni hyo ndefu ya uumbaji utakuja kukata kwa kuweka wazi kuwa Mungu ni wa milele Na milele,hahitaji Muumbaji kwani yeye Ndiye Alfa Na Omega
Asanteni
Paul Illakwahhi
JF member