Hehehehehe,,... amini usiamini, na mentality kama zako walahi CCM itatawala Tanzania miaka zaidi ya ishirini toka sasa, kama nyinyi ndio mnaompigia upato daktari Slaa, then you are doing a pretty bad job. siasa yenyu bado changa, mlitucheka wakati tulipokuwa na vurugu mwaka 2007, mkisahau the old adage that says, who laughs best laughs last, mna uswahili mwingi wakuangalia mambo ya wenzenu wakati nyumba yenyu yenyewe haifai. sisi tulikuwa na ukabila, hiyo generation, ile ya akina Kibaki, Moi, Njenga Karume, etc, ndio tunamalizana nayo this coming election, nyinyi ndio seeds za Udini zinaanza kupandwa, if you wount change, then the once beautiful country will go into smokes, na population yenyu kubwa ya watu ambao hawajawahi ingia darasa, it will be so hard to cool them down. Mnasema you have nothing to learn from us, mimi na sema you have everything to learn from Kenya, Tanzania ni Kenya ya 1999, wakati ambapo multipartism was introduced na mbegu ya ukabila ukapandwa. I am not the one to wish bad on the next brother, but truth be told, you are still way behind us... Y'all fruits do agree with smatter, right?