Mythology: Mjue Malaika Azrael(Malaika mtoa roho)

Acha habari zako wewe, mungu wa kipagani kivipi?
Kwa mfano jina Israel, si kalitoa mungu mwenyewe akampa yakub/Jacob, mungu asiyependa kushirikishwa hawezi kuwa alitoa jina hilo lenye el unayodai ina maana mungu wa kipagani.
 
Hakuna kitu kama hicho,, yakobo ni mythical figure hajapata kuwepo,
Jina lolote linaloishia na El,, anzia kwa IshamEl, MichaEl, DaniEl, RafaEl EmanuEl, etc
Limebeba jina la mungu wa kipagani wa caanan,
Watu hawataki kuchimbua zaidi lakini huo ndo ukweli na history imeweka wazi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mungu asiye wa kipagani ni yupi mwanangu.
 
Anapokea rushwa Kia's gani niweze kupatana nae[emoji4]
 
we jamaa kuna wakati una sound intelligent na kuna muda unaonekana Jinga Jinga fulan.
umejua kuwa hayo majina ya malaika waliyakopi kwa hao waPagani na sio wapagani walikopi kwa malaika hayo majina na kuyafanya kuwa majina ya miungu yao?. ujue jambo moja malaika (kwa mujibu wa imani) wamekuwepo kabla ya wapagani.
ilo tu likufanye ujue wapagani ndio wamekopi
 
Huyo ana stress za u spika wa bunge.
 
Mkuu kwa jina la Fidelis je unalizungumziaje?
 
Katika mfululizo wa masomo yangu haya ya mythology nitafundisha namna ya kuongea na viumbe vingine katika ulimwengu wa roho[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545].
 
Father
 
Hivi huyu malaika mtoa roho ni kweli yupo au!!!
 
Ungefanya research, ungelewa naongelea nini hata mimi nilishtuka sana kugundua hii kitu,, nakushauri sasa taratibu kwa wakati wako, research, El,,
Halafu jiulize tu, ilikuaje ghafla wakaacha kuabudu El na kuhamia Yahwew,
Search pia, 'Documentary hypothesis'
Utapata mwanga

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mungu asiye wa kipagani ni yupi mwanangu.
Kwa mujibu wa bible,
Mungu mkuu ni El elyon
Huyu ana watoto 70,, miongoni mwao ni Baal, jehova, etc,
Abraham alikua introduced kwa mungu El na mtawala wa yerushalem alieitwa Melkizedek,, so hatuelewi wakati yuko mesopotamia, Abraham aliabudu mungu yupi,,,
Moses alikua introduced kwa mungu, Yahwew na baba mkwe wake, yethro ambae alikuwa ni kuhani wa yahwew wa kabila la wa midian

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuuliza swali unajibu kitu tofauti.
Mungu asiye wa kipagani ni yupi!?
Nakuongezea swali la pili upagani ni nini!?
 
Nimekuuliza swali unajibu kitu tofauti.
Mungu asiye wa kipagani ni yupi!?
Nakuongezea swali la pili upagani ni nini!?
Lazima uwe na IQ kubwa sana kulielewa jibu langu, so ngoja nikupe black and white,
El
Yahwew
Baal
Sagon
Venus
Ra
Salem
Allah..
Etc
Hawa waluabudiwa na jamii mbalimbali kabla ya ujio wa mainstream Religious,
Naposema pagan, namaanisha non mainstream Religious,
Kila jamii ilikuwa na mungu iliyomuabudu ,
So mungu anaweza kuwa mmoja,, lakini jamii inaabudu kwa style tofauti tofauti na kwa jina tofauti tofauti[emoji1745]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…