Mythology: Mjue Malaika Azrael(Malaika mtoa roho)

Mzee sasa tuambie Mungu wa mainstream ambayo siyo upagani ni yupi!?
 
Mafundisho ya dini nyingine ni upagani mtupu!
Hakuna malaika mtoa roho!
Hakuna malaika anaekujia kaburini na kuanza kukuhoji, hakuna kitu kama hicho!
 
Kuna watu wanapata mafundisho kutoka ulimwengu wa Giza ya Uongo.
 
nimecheka san hapo uliposema eti ukitaka kuishi miaka mingi uwe unaelewana nae [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Katika malaika watata mzee huyo ndo namba hatari,ukitaka umpatie mwislamu yoyote yule ukimtajia hadithi za huyo bwana lazma apoe kama maji vile.

nakumbuka kuna mtume alikuwa anafosi sana kwa mungu amuone live huyo malaika,basi mungu hakufanya hiyana akamkutanisha nae na alikuja kwa sura tu ya kirafiki sababu anaongea na mtume wa mwenyezi mungu.

Lakini baadae mtume alivyoulizwa anafananaje malaikatul mauti jibu alilotoa ni kwamba sura na umbile lake tu ni kifo tosha na hapo ndo kaja na umbile la kirafiki je akija kwa shari anakuwaje

allah atupe mwisho mwema mimi na wewe amim
 
We jamaaa nakuonea huruma sana ukifa sijui utaenda wapi maana unaongea vitu havieleweki na ni ujinga mtupu
 
Mods. Watu wanao anzisha mada na hawamalizi wafungiwe wanajaza servers hovyo.
Ova
 
Ahsante kwa elimu
Nalog off
 
Nimekuuliza swali unajibu kitu tofauti.
Mungu asiye wa kipagani ni yupi!?
Nakuongezea swali la pili upagani ni nini!?
Maelezo yangu yalikuwa yanachochea ufanye critical thinking mwenyewe, kama El ni mungu wa kipagani,, maana yake inavunja kabisa misingi ya Abrahamic religions
 
Nimekuuliza swali unajibu kitu tofauti.
Mungu asiye wa kipagani ni yupi!?
Nakuongezea swali la pili upagani ni nini!?
Maelezo yangu yalikuwa yanachochea ufanye critical thinking mwenyewe, kama El ni mungu wa kipagani,, maana yake inavunja kabisa misingi ya Abrahamic religions
 

Hakuna mfu anaenda mbinguni. huo ni uongo​

1 Wakorintho 15:52​

ghafula, kufumba na kufumbua, parapanda ya mwisho itakapolia. Kwa kuwa parapanda italia, nao wafu watafufuliwa na miili isiyoharibika, nasi tutabadilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…