Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

chibingo

Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
46
Reaction score
8
Jamani hebu angalieni Star TV live coverage, polisi warusha mabomu kutawanya watu pale ofisi za jiji. Kisa? matokeo kucheleweshwa, nyamagana na ilemela
 
Chibingo endelea kutupasha wengine tupo nje ya Tanzania kwa sasa.
 
sasa hatari hiyo jamani imeshafiki hayo?mbomu tena mhhhhhhhhhhhh
 
Hii nguvu ni ya nini?

Matokeo tunajua yameshajuliakana, tunataka tu msimamizi a-declee kuachishwa kazi kwa baadhi ya watu!!! Period!!
 
Hii nguvu ni ya nini?

Matokeo tunajua yameshajuliakana, tunataka tu msimamizi a-declee kuachishwa kazi kwa baadhi ya watu!!! Period!!


Kinachonishangaza kama matokeo yanajulikana mabomu ya nini?ebo!
 
Mkwere aka mbayuwayu ameenda mwanza kusaidia kuchakachua matokeo yaani huyu mbayuwayu hana hata aibu kabisa
 
Hivi mkwere na masha wana ubia gani? mkwere amekuja mza zaidi ya mara nne katika kipindi cha kampeni. Tena leo kaja mza kufanya nini? ku-facilitate uchakachuaji?
Big shame to JK!
 
Back
Top Bottom