MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya shule za South Africa kufunga , Tanzania sweetheart Tiffah Dangote amefanya vizuri katika mitihani yake ya mwisho. Katika Darasa la Tiffah lenye wanafunzi 43 kutoka mataifa 41 mtoto huyo amekuwa wa kwanza huku akipata GPA ya kufa mtu.
Mkuu wa shule hiyo bw Motseshe Machaka amedai tokea shule hiyo kuanzishwa Kipindi cha ubaguzi wa rangi Tiffah amekuwa mwanafunzi wa kwanza kufanya maajabu hayo.
Baada ya taarifa hizo kufika Madale Simba hakuamini kabisa ambapo ilibidi kusafiri hadi South ambapo mtoto wake mbele ya wanafunzi na walimu alifanya hesabu za darasa la ltatu bila ugumu wowote,ambapo walimu wake wamemshauri kumrusha darasa.
Simba ambaye yuko South kwa ajili ya kuchukua matokeo ya Tiffah amejikuta. ameongeza muda kidogo wa kukaa huko baada ya Zari kupata uchungu wa ghafla.
Wakati hayo yakiendelea South, watoto wa msanii namba mbili nchini wameendelea kusuasua darasani ambapo baba yao amedai wakiendelea kuchezea elimu basi itakuwa mwisho kuwalipia ada mwakani.