TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 445
Wewe umeshachukua posho yako??Kesho mtaambiwa diamond ndio tajiri mkubwa South Africa ukimaliza hapa kachukua posho yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeshachukua posho yako??Kesho mtaambiwa diamond ndio tajiri mkubwa South Africa ukimaliza hapa kachukua posho yako
Baba yao ana degree tatu zote under grad.Watoto wa KING OF ALL SOCIAL MEDIA A. K. A MZEE WA MABEBEZ pia wanasusua darasani pale downtown PHILADELPHIA
KADA
kweli unasaga sumu watoto 43 kutoka mataifa 41 yaani umetudanganya kila sentensiBaada ya shule za South Africa kufunga , Tanzania sweetheart Tiffah Dangote amefanya vizuri katika mitihani yake ya mwisho. Katika Darasa la Tiffah lenye wanafunzi 43 kutoka mataifa 41 mtoto huyo amekuwa wa kwanza huku akipata GPA ya kufa mtu.
Mkuu wa shule hiyo bw Motseshe Machaka amedai tokea shule hiyo kuanzishwa Kipindi cha ubaguzi wa rangi Tiffah amekuwa mwanafunzi wa kwanza kufanya maajabu hayo.
Baada ya taarifa hizo kufika Madale Simba hakuamini kabisa ambapo ilibidi kusafiri hadi South ambapo mtoto wake mbele ya wanafunzi na walimu alifanya hesabu za darasa la ltatu bila ugumu wowote,ambapo walimu wake wamemshauri kumrusha darasa.
Simba ambaye yuko South kwa ajili ya kuchukua matokeo ya Tiffah amejikuta. ameongeza muda kidogo wa kukaa huko baada ya Zari kupata uchungu wa ghafla.
Wakati hayo yakiendelea South, watoto wa msanii namba mbili nchini wameendelea kusuasua darasani ambapo baba yao amedai wakiendelea kuchezea elimu basi itakuwa mwisho kuwalipia ada mwakani.
Ndio kawaida yetu sie wabongo tunasoma Tu ila hatufikirihi na kutafakar japo hata kidgo tunachokisoma....MTU hajui utani unakuwaje NA issue serious inakuwaje....Yaan kwake yy kwake rangi zote ni nyekundu.Watu headline hawasomi wanakimbilia kutukana...tusiwe wavivu soma kitu ukielewe hayo yote kaandika vichekesho.