MZAHA: Mtoto Tiffah aonesha uwezo mkubwa darasani, aanza kufanya hisabati za Std 3

Watoto wa KING OF ALL SOCIAL MEDIA A. K. A MZEE WA MABEBEZ pia wanasuasua darasani pale downtown PHILADELPHIA

KADA
Nasikia Huyo king of all sosho media alikimbia child support huko states so usishangae wakisuasua kwenye masomo kwani hata baba yao amechelewa sana kukua!
 
Kwa kuwa ni MZAHA kazi kwenu wenye Teams..........Kufanya nanyi MZAHA.....
 
Umenikosha sana, Mzaha
 
Msaga Sumu anajua kulitendea haki jina lake - kusaga sumu!
 
Mleta Thread hujitambui unashabikia utumbo huenda wewe ni tasa kama si impotency....pointless for sure badala ya kujadili mambo ya msingi unajadili people's family.
Na kama wamekutuma tell all including ua zero brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…