Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama.
Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala au na taarifa za mafanikio ya udhibiti. Kwa mambo yanavyokwenda inaonekana hii nchi inaibiwa mifumo ikiwa sehemu ya wizi na hakuna namna mifumo yetu umefanikiwa kuwapata wezi.
Lakini haya may be IPO taasisi umepoteza dira Bila wao kujua wamepoteza dira. Taasisi hii nyeti tumeona ikitoa wakuu wa taasisi mbalimbali, makatibu wakuu, majaji na hata Wana diplomasia.
Kwa namna walivyojipigia pande la uteuzi katika nafasi kubwa NI wazi institution memory imekufa, msingi umepotea ,malengo yameachwa na rasilimali zimetawanywa. It's like huko ndani agenda kuu imekuwa uteuzi na si kujiimarisha kuendana na mazingira ya sasa.
Huu wizi na ubadhirifu unaotajwa kila wakati NI ishara kwamba maafisa wa Intelligence wameacha kuipenda taasisi Yao mama na majukumu yake wametamani Sana na kuyapenda majukumu ya taasisi nyingine. Kwa kufanya hivyo wamekosa constancy na information flow na hivyo huko walipopelekwa wameendelea kutumia muda mwingi kudukua waliowakuta kuliko kuwarekebisha. Lakini pia kama wakubwa wote wamegawana taasisi wataripoti kwa nani?
Naandika hisia hizi nikuomba Mhe. Rais aiponye Intelligence yetu; aache kuwateua kwenda kuongoza taasisi nyingine hili wajue wazi kwamba hakuna taasisi Bora kuliko taasisi yao mama.
Lakini pia JK aliwahi kusema "nimeletewa majina ya watu wakuwafanyia uteuzi, nilipoangalia Kati ya majina niliyoletewa sijauona jina la MTU aliyekulia kwenye taasisi ninayopaswa kuteua mkuu wake. Baada ya kuuliza nilikataa majina yote nikasema haiwezekani mtu akulie kwenye taasisi miaka ishirini au zaidi halafu inapofika kuteua kiongozi wa juu nikateue MTU kutoka nje. Hii nikukatisha watu Tamaa lakini pia nikuwafanya watu flani kuamini wao wanaweza kujipangia maeneo ya kuongoza "
Mama unapowaza kuboresha eneo la Haki jinai fahamu kuwa tatizo limetengenezwa na walio chini ya Ofisi yako. Wamekwenda kila sehemu Bila kificho na hivyo wamekosa ushirikiano na wenyewe ndani pia wamegawanyika.
Tuanzie chambani kabla ya kwenda sebuleni. Remote ya Haki jinai IPO chumbani hawa wengine wanaendelea kutii Amri wakiaminishwa wateule ni waleee na kwamba wao NI wazalendo Na. 1