Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

Umesma kweli mkuu
 
Huyu mzee naye ana kaunafisi kwa mbali mpk utulie ndiyo utakaona, but ukilinganisha na majangili ya CCM mzee yupo vizuri, kimsingi hakuna msafi ndani ya CCM, kuna matekaji, majangili, mafisadi na kusanyiko la shetani tupu.
Hamna sema mzee anajua mambo mengi amekula vyapo vingi mno so lazima achague maneno vzr
 
..waswahili wana msemo, " samaki mkunje angali mbichi. "

..lugha laini-laini wanayotumia viongozi wakuu, na viongozi wa dini, wakati wananchi wakifanyiwa uovu inatengeneza mazingira ya matendo hayo kutokukomeshwa.
 
Lugha hawezi kumoesha matendo ya uovu, ila tabia kuacha ubinafsi
 
Huyo ndiye mwana CCM pekee aliyebaki.
 
ni mzee pekee ambaye anazeeka na akili zake timamu, wengine Mungu aliamua kuchukua akili mapema sasa wanazeeka wakiwa empty na ubaya zaidi ni kwamba wanapewa nafasi ya kuzungumza public ili tuone umbu mbu mbu wao 😎 . Mzee warioba aishi maisha marefu Mungu aendelee kumtumia na kumuongezea miaka ya kuishi..hayupo kwenye kundi la wa wazee wa hovyo
 
Mzee hana watoto wanaovizia teuzi.
 
Kuna kijana mwenye laana alijaribu kumfanyia fujo pale Ubungo plaza - CCM imejaza vijana wa hovyo sana.

Mungu akupe maisha marefu Jaji pekee wa heshima uliyebakia TZ baada ya Majaji Nyalali na Kisanga kutangulia mnele za haki.
 
Amina ,kwa lweli
 
Kabisa maisha ma
Kuna kijana mwenye laana alijaribu kumfanyia fujo pale Ubungo plaza - CCM imejaza vijana wa hovyo sana.

Mungu akupe maisha marefu Jaji pekee wa heshima uliyebakia TZ baada ya Majaji Nyalali na Kisanga kutangulia mnele za haki.
Marefu kwake
 
Kweli kabisa kuna vina wa hovyo kabisa
 
Kweli kabisa kuna vina wa hovyo kabisa

..sasa hao waliomshambuliwa Mzee Warioba wameteuliwa ktk nyadhifa kubwa kuliko walizokuwa nazo wakati walipomshambulia.

..kitu cha kushangaza ni kwamba Mzee Warioba bado yuko ktk chama hicho hicho cha waliomshambulia. Pia anaendelea kujinyenyekeza kwa watawala na mamlaka zinazopandisha vyeo wahuni waliomshambulia.

..Mzee Warioba labda yuko kwenye denial akiamini watawala wahuni watamsikiliza akiwasilisha hoja zake kwa kumung'unya maneno. Au labda ni mnafiki anayetumika kuwadanganya wanamageuzi wamuone anawaunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…