Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

Tunamuombea afya njema, Baraka na Neema za Mungu na maisha marefu zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenz cha waTanzania walau atuongoze hadi 2035🐒
 
Kuna kijana mwenye laana alijaribu kumfanyia fujo pale Ubungo plaza - CCM imejaza vijana wa hovyo sana.

Mungu akupe maisha marefu Jaji pekee wa heshima uliyebakia TZ baada ya Majaji Nyalali na Kisanga kutangulia mnele za haki.
Hahaaa
 
Lugha Kidiplomasia katumia.
 
Butiku ,na Jenerali Twaha Halfan Ulimwengu
 
hii katiba ya mwaka 77 aliiandika nani kweli?
 
Yupo mzee Butiku mzee wa kigoda cha mwalimu. Hv mzee ulimwengu bado anaishi? Mzee wa maana sana yule.
 
Mzee anaviapo vingi sana mkuu
 

Uchaguzi ungesusiwa na wananchi wote, vyama vyote ili tuunde serikali ya mpito ya kifaita itayotupa katiba mpya ikiongozwa na Mzee Warioba kwa miaka mitatu hivi. Aweke mambo yote sawa.

Halafu ndio tufanye chaguzi mbalimbali. Ikiwa na viongozi wengine wazalendo kama Shivji nk.
 
Yapu ingekaa vzr sana kwa masilai ya taifa letu pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…