Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

Mmh kama kweli anataka kutoka na kwa style anayoimba kweli amecheza na nyakati.....ila intakiwa uwe na roho ngumu kama kwelikweli kutoa nyimbo kama iyo ndio uweze kutoka
Kama namuona bashite anavyomlia timing.
 
Mmh kama kweli anataka kutoka na kwa style anayoimba kweli amecheza na nyakati.....ila intakiwa uwe na roho ngumu kama kwelikweli kutoa nyimbo kama iyo ndio uweze kutoka
Kuna watu wanaitwa cold blood, hawajali kuhusu kifo,kutetea haki,pale jamii inapoteswa,ukimtishia kifo anakwambia just do it,km che guevera,nk.Huwa si wanafiki hawawezi kaa kimya kuona mwingine anaonewa.Huwezi silence watu wote ni kuukimbiza upepo, hata ukiiuwa chadema, wataibuka wengi tu,ukimuuwa Lisu mmoja wanaibuka 10,tuyafanyayo sie ni repetition ya yaliyoshafanyika, na hayakuleta tija.Ndo maana wenzetu wao hawapambani na watu wao upambana na maendeleo ili upinzani wakose cha kukosoa.Hii kusilence watu ufanywa na washamba primitive ambao hawajui chochote kuhusu dunia, japo ujiona wanajua vitu kumbe ni zero brain empty minded, ni weupe vichwani.
 
Hip hop ni muziki wa kweli ni Maisha ya watu, ila daaaah mistari imetulia sana
 
Reactions: PNC
Roma anaimba vibamia sikuhizi na nimeskia anataka kuingia ccm, huko ndio atapotea kabisa.
 
Awe makini bashite na genge lake la mumiani bado wana Kiu ya damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…