mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Angemsifia mkulu Ndo angekuwa original siyo?! [emoji23]
You are NOT making any point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angemsifia mkulu Ndo angekuwa original siyo?! [emoji23]
Kwahiyo wewe unaimba taarab?!
Ili kuwa real wanatakiwa waweje mkuu
Wewe fake kabisa unaweka **** **** nyingi uonekane mjanja
Sasa kwani hiyo Goligota kaiga Wanigeria?Waimbe nyimbo za kitanzania si hizi za kuiga Nigerians. Ni bora hata wangeimba taarab, singeli/mchiriku, kibao kata ila si bongo stupid fleva.
Ameanza vizuri sijui kama atafika anapokwenda hapo ategemee muujiza tujamaa anakuja vizuri..
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Vijana kama hawa huwezi kuwapata darisalama
haaaahaaaaaNi kweli mkuu,tatizo anaweza kufa asifufuke tena,
Aisee huyu jamaa ni shujaa wa karne