Muziki wetu ni upi.?? Una maana Mdundo au Content(Lyrics). Hip hop Dunia nzima Content ndio ina matter hata kama beat ni milio ya sufuria, sasa kama wewe unasikiliza midundo tu kwenye Hip hop unafeli. Na nikukumbushe tu hakuna Bongo Hiphop, kenya hiphop, Zanzibar Hip hop wala Angola Hiphop nk.
Mzalendo kaiwakiisha Hiphop vile ipasavyo coz ame represent jamii na kagusa kila area, na pia usisahau kuna kuburudisha na kuelimisha kwenye sanaa kwahyo usipoelewa Burudika ila Ukielewa Elimika. Labda uamue tu kutoelwa coz Ni vigumu sana kumuamsha aliyejifanya amelala.