Kuwa muoga kupita kiasi ni ujinga vilevileKujiamini kupita kiasi ni ujinga
Tupe hicho kiasi kinachofaa mkuu ili isiwe ujingaKujiamini kupita kiasi ni ujinga
Uoga ni ujinga uliopitiliza mtu huzaliwa siku moja na hufa siku mojaKujiamini kupita kiasi ni ujinga
Hata kama wasiojulikana watamuua ujumbe umefkaSafi sana
Kumbe bado kuna wanaharakatiTrue,asante kwa kusema ukweli
Swissme
Kwanini wamuue..!?Watamuua lakini ujumbe umefika