Mzalendo: Nasogea Goligota

Mzalendo: Nasogea Goligota

Nasogea Golgotha ni wimbo mpya wa mwana harakati Mzalendo.
Wimbo huo ni wimbo kosozi, ukikosoa mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye jamii yetu hii.
Huyu dogo ni mkali.
Ni mwana harakati aliye iva.
Hebu shuhudia
 
Ndio nyimbo nazopenda hizi
 
Nasogea Golgotha ni wimbo mpya wa mwana harakati Mzalendo.
Wimbo huo ni wimbo kosozi, ukikosoa mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye jamii yetu hii.
Huyu dogo ni mkali.
Ni mwana harakati aliye iva.
Hebu shuhudia

Huyu ametafta tiketi ya kwenda sao hill mafinga
 
Duuu kweli wakiuwawa kina Lisu watatokea wengine 100

Ndio mara ya kwanza namjua leo huyu jamaa na kaitendea haki nyimbo yake
 
Back
Top Bottom