Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Mzalendo-nasogea goligothaAnaitwa nani huyu na ni wa wapi???
Ila waoga huwazika mashujaaUkiwa jasiri utakufa ukiwa mwoga utakufa
Amemukosoa malaikaKwanini wamuue..!?
Itakuwa haujasikika kwa wakubwahaujafungiwa bado au shonza hajausikia bado
Ngoja tuone kama haujafungiwaUkisema utakufa na usiposema utakufa pia. Hongera kwa kusema ukweli
Atakuwa wa Arusha maana dar waoga wakitishwa wanaimba vibamiaAnaitwa nani huyu na ni wa wapi???
Huyu ametafta tiketi ya kwenda sao hill mafingaNasogea Golgotha ni wimbo mpya wa mwana harakati Mzalendo.
Wimbo huo ni wimbo kosozi, ukikosoa mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye jamii yetu hii.
Huyu dogo ni mkali.
Ni mwana harakati aliye iva.
Hebu shuhudia