Mzaliwa wa kwanza ndio wanafaa kuongoza nchi. Je, Tanzania tunazingatia hilo?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu.

Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,

Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi.

N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
 
😂😂😂Nakumbuka hii kauli ilikuwa inabamba o level Kuna jamaa alikuwa anagombea uhead boy ila kwao ni mtoto wa mwisho na ni wakishua ...watu wakawa wanasema huyo hafai japo alikuwa fit kuongea kingereza hata darasani
....na kweli hakupata alikuwa na influence form one tu ila kwenda juu alikosa kabisa support😂😂😂
 
Ongeza na Yusuf
Huyo Daudi mnajua changamoto alizokutana Nazo katika uongozi wake
1.Uzinzi na mke wa mtu pamoja na uuaji ( 2 Samweli 11-12)
2.Mtoto wake kumbaka dada yake ( Amnoni kumbaka Tamari,kisha Absolumu akamwua Amnoni 2 Samweli 13)
3.Kuishi kwenye maisha ya mazomeo
 
Salama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
Nilizani utamalizia "WAKIUME" Au bhas HILI NALO MKALIANGALIE
 
Huyo Daudi mnajua changamoto alizokutana Nazo katika uongozi wake
1.Uzinzi na mke wa mtu pamoja na uuaji ( 2 Samweli 11-12)
2.Mtoto wake kumbaka dada yake ( Amnoni kumbaka Tamari,kisha Absolumu akamwua Amnoni 2 Samweli 13)
3.Kuishi kwenye maisha ya mazomeo

Tumerejea hoja yako kutoka kwenye Biblia. Inamaana makosa yalifanyika Daudi kupakwa mafuta badala ya mzaliwa wa kwanza?
 
Hoja haina mashiko kwasababu Yuda mwana wa Yakobo alikuwa mtoto wa nne na ndio alichukua uongozi mpaka Messiah ametokea kwake. Yusuphu pia hakuwa mzaliwa wa kwanza.
 
Yakobo hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua Esau

Daudi hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua Caleb

Solomon hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa kwanza alikua Absalum

Yusuphu hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua .........

Hio ni mifano michache tu MUNGU hapangiwi MUNGU hazihakiwi

Soma maandiko utapata mwangaza mkuu
 
Mzaliwa wa kwanza wa Yakobo alikuwa Reuben kwa mke wa kwanza Lea
 
Salama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
Taja mifano ya nchi za mabeberu wanaofata huo utaratibu
 
Mzaliwa wa kwanza wa Yakobo alikuwa Reuben kwa mke wa kwanza Lea
Yakobo mtoto wa Isaka na Rebeka kaka yake alikua anaitwa Esau walizaliwa mapacha ila Esau alitangulia Yakobo akafuata akiwa amemshika Esau mguu

Isaka hakua mtoto wa Kwanza wa Abraham ila mtoto wa kwanza wa Abraham alikua ni Ishmael aliezaa na sulia wa Sarai aliejulikana km .........

Ushaelewa mkuu?
 
Salama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
huna akili
 
Back
Top Bottom