mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Salama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
Unaongelea uzaliwa wa kwanza na kuongoza kutokana na biblia au kutoka kwa mabeberu??
Kama ni kutoka kwenye biblia Daudi hakuwa mzaliwa wa kwanza na aliongoza taifa la Israel
Halafu kama unaongelea haki za mzaliwa wa kwanza ujue kunamzaliwa wa kwanza kwa haki/nafasi ya kuzaliwa na kuna mzaliwa wa kwanza kiroho.
Kama umesahau kasome habari ya Ishmael vs Isaka, Esau vs Yakobo, Ruben vs Yusufu, Ephraim vs Manase na wengine utaelewa
Biblia inasema
Misingi ikiharibika mwenye haki hana la kufanya; na Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu, na hizo nguvu ziwe nguvu za Mungu