Vipi kuhusu Daud alikuwa mtoto wa kwanza? Hoja yako haina mashiko.
Pia nchi yetu haiongozwi kwa vitabu vya dini, inaongozwa kwa katiba
Huyo Daudi mnajua changamoto alizokutana Nazo katika uongozi wakeOngeza na Yusuf
Nilizani utamalizia "WAKIUME" Au bhas HILI NALO MKALIANGALIESalama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
Huyo Daudi mnajua changamoto alizokutana Nazo katika uongozi wake
1.Uzinzi na mke wa mtu pamoja na uuaji ( 2 Samweli 11-12)
2.Mtoto wake kumbaka dada yake ( Amnoni kumbaka Tamari,kisha Absolumu akamwua Amnoni 2 Samweli 13)
3.Kuishi kwenye maisha ya mazomeo
Mzaliwa wa kwanza wa Yakobo alikuwa Reuben kwa mke wa kwanza LeaYakobo hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua Esau
Daudi hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua Caleb
Solomon hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa kwanza alikua Absalum
Yusuphu hakua mzaliwa wa kwanza mzaliwa wa kwanza alikua .........
Hio ni mifano michache tu MUNGU hapangiwi MUNGU hazihakiwi
Soma maandiko utapata mwangaza mkuu
Taja mifano ya nchi za mabeberu wanaofata huo utaratibuSalama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
Yakobo mtoto wa Isaka na Rebeka kaka yake alikua anaitwa Esau walizaliwa mapacha ila Esau alitangulia Yakobo akafuata akiwa amemshika Esau mguuMzaliwa wa kwanza wa Yakobo alikuwa Reuben kwa mke wa kwanza Lea
Safi sana mkuu,Mzaliwa wa kwanza wa Yakobo alikuwa Reuben kwa mke wa kwanza Lea
huna akiliSalama wandugu.
Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia,
Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi..
N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
huna akili unazan hii nchi inaongozwa na dini.? waislam nao waweke vifungu vyao si watakutimueni kweny hii nchi ukiitwa kafiriWewe zuzu
Ongeza yakoboOngeza na Yusuf
Mkuu Wewe ndo zuzu, hujui chochoteZuzu wewe