Mzaliwa wa kwanza ndio wanafaa kuongoza nchi. Je, Tanzania tunazingatia hilo?


Unaongelea uzaliwa wa kwanza na kuongoza kutokana na biblia au kutoka kwa mabeberu??

Kama ni kutoka kwenye biblia Daudi hakuwa mzaliwa wa kwanza na aliongoza taifa la Israel

Halafu kama unaongelea haki za mzaliwa wa kwanza ujue kunamzaliwa wa kwanza kwa haki/nafasi ya kuzaliwa na kuna mzaliwa wa kwanza kiroho.
Kama umesahau kasome habari ya Ishmael vs Isaka, Esau vs Yakobo, Ruben vs Yusufu, Ephraim vs Manase na wengine utaelewa

Biblia inasema
Misingi ikiharibika mwenye haki hana la kufanya; na Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu, na hizo nguvu ziwe nguvu za Mungu
 
Tumerejea hoja Yako kutoka kwenye Biblia. Inamaana makosa yalifanyika yeye kupakiwa mafuta badala ya mzaliwa wa kwanza?

Swali la msingi sana hili

Na yupi aliyekua mzaliwa wa kwanza akawa mfalme na asiwe na mapungufu kama hayo ya Daudi na hata zaidi??
 
Hii ni dalili kwamba dini (tulioletewa na wakoloni) imetukaa kichwani kiasi kwamba hatuwezi kufikiri jambo bila kuihusisha.

Wazee wetu wanatushangaa sana huko waliko.
 
Hapa nawajua mambumbumbu na mazuzu wa Jf .
 
Hili suala limekaa kiroho zaidi kuliko kiakili, hata hivyo impact ya kuwa mzaliwa wa kwanza haiegemei sana chronological order, anaweza kuwa mtoto aliyezaliwa wa kwanza, wapili, watatu hata wa mwisho kabisa!
 
Biblia gani?
 
Mungu ana siri kubwa jmn

Wazaliwa wa pili tujuane😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…