Mzambarau

[emoji23][emoji23]
kicheko nusu 🙌🙌nauliza maana unamiaka zaidi ya mitano na kuna mwarobaini nataka nijue nikodi machine ya kukata. Kitaa kigumu halafu naona njia ya kupata mtaji ni hii
 
kicheko nusu [emoji119][emoji119]nauliza maana unamiaka zaidi ya mitano na kuna mwarobaini nataka nijue nikodi machine ya kukata. Kitaa kigumu halafu naona njia ya kupata mtaji ni hii
Uwo Ni mtaji tosha "kata alafu pasuapasua Kama kuni utapiga hela nyingi zaidi ya mbao kwani mbao hutopata kitu Apo
 
Besides the fruits, wood from Neredu tree (as it is called in the region's language, Telugu) is used in Andhra Pradesh to make bullock cartwheels and other agricultural equipment. The timber of Neredu is used to construct doors and windows.

The wood is water resistant. Because of this it is used in railway sleepers and to install motors in wells. It is sometimes used to make cheap furniture and village dwellings though it is relatively hard to work on.

asante mkuu kila kitu nimekipata👍👊
 
Uwo Ni mtaji tosha "kata alafu pasuapasua Kama kuni utapiga hela nyingi zaidi ya mbao kwani mbao hutopata kitu Apo
asante mkuu.👍👊nyembamba nitauza kama kuni nyingine minene nitatumia kwa mbao
 
Kwani hautoi matunda ? Bora endelea kuvuna na kuuza matunda sidhani kama hizo mbao zako zitakuwa na soko kuliko watu walivyozoea mtundu, cypress n.k. kwa ushauri kabla haujakata na kuingia chaka nenda kwa wauza mbao au potential buyers uwaulize wanaweza kununua kwa kiasi gani.., unaweza kuzikata matunzo yake na kuzifanya zikae vema na zisibumbuliwe gharama ikawa kubwa kuliko bei utakayouza
 
natumia Mimi hizo mbao kutengeneza faniture kuna biashara nataka nifanye garama kubwa ni funiture. Unatoa. nakata baadhi maana unamiaka 10+
 
natumia Mimi hizo mbao kutengeneza faniture kuna biashara nataka nifanye garama kubwa ni funiture. Unatoa. nakata baadhi maana unamiaka 10+
It is sometimes used to make cheap furniture and village dwellings though it is relatively hard to work on.

Hapo Keyword ni Cheap na Hard to work on...
 
It is sometimes used to make cheap furniture and village dwellings though it is relatively hard to work on.
Hapo Keyword ni Cheap na Hard to work on...
cheap haina tatizo ni matumizi binafsi shida ni kipengele cha hard to work on hapo inabidi nichunguze kama zitawezekana kuchanika
 
cheap haina tatizo ni matumizi binafsi shida ni kipengele cha hard to work on hapo inabidi nichunguze kama zitawezekana kuchanika
issue nadhani sio kwenye kuzichana labda hata tatizo la kwenye designing na kwa mazingira yetu kama zitafaa na pia je uliwaji wa wadudu upo vipi.., labda kwanza tengeneza kigoda kimoja alafu uone matokeo kabla haujashusha msitu mzima...,

kuna mtu alishatengeneza furniture za mnazi zikawa nzuri ila sijui hazikukauka vizuri au zilikuwa hazijakomaa baada ya muda zikaanza kupinda...
 
nitakata maana Niko mtaa ambao MTU kugonga geti tu nishida, mtaa wa mapapaa halafu maliasili kuna mademu 3 wote in shemeji zangu hilo sio shida.
"Kata miti hiyo wakikusumbua wambie unataka kufanya utanuzi wa ujenzi" alafu kwa hayo maelezo yako napata wasiwasi na umri wako huwenda wewe Ni dogo wa certificate au diploma umefunga chuo unasumbua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…