Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ma
Make it soft to work by using soft tools.kila hatua tumia vyombo hakuna mti unaogoma ktk machine hata mtundu.Dizaini furniture za kutumia bolt kama za wachina ili ukihama unahama nazo.Wasikutishe mzambarau mti mgumu utadumu sana.cheap haina tatizo ni matumizi binafsi shida ni kipengele cha hard to work on hapo inabidi nichunguze kama zitawezekana kuchanika