Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Moja kwa moja kwenye uzi,
Siku za hivi karibuni huyu kijana amekuwa ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili.
Ofcoz anashida kidgo kwenye utulivu but isiwe sababu ya kum-underrate.