Mzamiru apewe sifa zake

Mzamiru apewe sifa zake

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
1679839513174.png

Moja kwa moja kwenye uzi,

Siku za hivi karibuni huyu kijana amekuwa ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili.

Ofcoz anashida kidgo kwenye utulivu but isiwe sababu ya kum-underrate.
 
Moja kwa moja kwenye uzi,
Siku za hivi karibuni huyu kijana amekua ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili. Ofcoz anashida kdgo kwenye utulivu but isiwe sababu ya kum-underrate.

Kweli kabisa
 
Mzamiru na Mdathiri walicheza vizuri kiasi.
Mchezaji aliye cheza vizuri zaidi alikua Himid Mao nadhani kocha wa Uganda Hakuamini alichokiona kutoka Kwa Himidi.
Himid ni typical kiungo mzuiaji! Mzamiru anakaba na pia siku hizi amekuwa bora sana kwenye control ya mpira na pasi za uhakika. Kwasasa Tanzania haina midfielder level ya Mzamiru.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Mzamiru ambalo ni la siku zote ni lile la kupenda kukaa muda mrefu na Mpira.Yaani anapenda Ile anao anao nyingi sana.Hii ndio changamoto Yake Kubwa.

Alilifanyia kazi hili basi atakuwa mzuri sana.Wale walio Karibu yake wamwambie.Jana kidogo kajitahidi hakuchelewesha shambulizi na ndio maana tukapata goli.

Akiwa na maamuzi ya haraka kama jana basi atatngeneza mashambulizi mengi na kuzaa magoli mengi.
 
Mzamiru na Mdathiri walicheza vizuri kiasi.
Mchezaji aliye cheza vizuri zaidi alikua Himid Mao nadhani kocha wa Uganda Hakuamini alichokiona kutoka Kwa Himidi.
Sure,jamaa alikata umeme hadi vibatari alizima kabisaa
 
MZAMIRU ni Ngolo kante MTUPU.
Kukaba.
Kukimbia.
Kutibua mipango
Energy

MZAMIRU ANASHIDA akiwa na. Mpira Huwa HAJUI aufanyie nini.

Mbovu mno kwenye passing.
Sio siku hizi,now jamaa anapiga sana pasi za maana,hata move ya goli ni pasi yake au hujaona mkuu?
 
Back
Top Bottom