Moja kwa moja kwenye uzi,
Siku za hivi karibuni huyu kijana amekua ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili. Ofcoz anashida kdgo kwenye utulivu but isiwe sababu ya kum-underrate.
Himid ni typical kiungo mzuiaji! Mzamiru anakaba na pia siku hizi amekuwa bora sana kwenye control ya mpira na pasi za uhakika. Kwasasa Tanzania haina midfielder level ya Mzamiru.Mzamiru na Mdathiri walicheza vizuri kiasi.
Mchezaji aliye cheza vizuri zaidi alikua Himid Mao nadhani kocha wa Uganda Hakuamini alichokiona kutoka Kwa Himidi.
Wala mihogo watabishaHimid ni typical kiungo mzuiaji! Mzamiru anakaba na pia siku hizi amekuwa bora sana kwenye control ya mpira na pasi za uhakika. Kwasasa Tanzania haina midfielder level ya Mzamiru.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sure,jamaa alikata umeme hadi vibatari alizima kabisaaMzamiru na Mdathiri walicheza vizuri kiasi.
Mchezaji aliye cheza vizuri zaidi alikua Himid Mao nadhani kocha wa Uganda Hakuamini alichokiona kutoka Kwa Himidi.
Sio siku hizi,now jamaa anapiga sana pasi za maana,hata move ya goli ni pasi yake au hujaona mkuu?MZAMIRU ni Ngolo kante MTUPU.
Kukaba.
Kukimbia.
Kutibua mipango
Energy
MZAMIRU ANASHIDA akiwa na. Mpira Huwa HAJUI aufanyie nini.
Mbovu mno kwenye passing.
Acha ufala hiyo ni team ya taifa so clubMakolo yanaruka na kukanyagana