sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake.
Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma namba.
Mzanzibari ili awe nafasi kama hii tuliyopo sisi ni mpaka kipande cha ardhi yao kiuzwe na wakazi wake wahamishiwe huko Tanga Handeni.
Wanasema haya mambo yalianza mwaka 93/94 kule Loliondo kwa mwekezaji kuuziwa kitalu cha uwindaji, huo mwaka nani alikuwa raisi?